kweli ulevi ni nooooiimaaaaaa!!!!!!

kweli ulevi ni nooooiimaaaaaa!!!!!!

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe
alikuwa hajatulia hata kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari
na msela, MLEVI akarudi home
ghafla. mkewe akamwambia yule
msela
Usiondoke, lala hivo hivo mume
wangu mlevi
hatagundua.......Msela akalala
kweli........basi mlevi akapanda
kitandani wote watatu wakalala.....
... Baada ya muda kidogo mlevi
akagutuka, akagundua utofauti
hapo kitandani, akahesabu miguu
na kuona ipo sita, akamshtua
mkewe,....."mke wangu,mbona
miguu ipo sita nani kalala
hapa??"....
Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka
hapa na pombe zako,miguu sita
itoke wap hebu shuka kitandani
uhesabu vizuri..!
Mlevi akashuka, akahesabu..
MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA
KUMBE
KWELI NILIKOSEA
KUHESABU,SAMAHAN MKE
WANGU!!
 
MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe
alikuwa hajatulia hata kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari
na msela, MLEVI akarudi home
ghafla. mkewe akamwambia yule
msela
Usiondoke, lala hivo hivo mume
wangu mlevi
hatagundua.......Msela akalala
kweli........basi mlevi akapanda
kitandani wote watatu wakalala.....
... Baada ya muda kidogo mlevi
akagutuka, akagundua utofauti
hapo kitandani, akahesabu miguu
na kuona ipo sita, akamshtua
mkewe,....."mke wangu,mbona
miguu ipo sita nani kalala
hapa??"....
Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka
hapa na pombe zako,miguu sita
itoke wap hebu shuka kitandani
uhesabu vizuri..!
Mlevi akashuka, akahesabu..
MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA
KUMBE
KWELI NILIKOSEA
KUHESABU,SAMAHAN MKE
WANGU!!

dah! e bwana hiyo kali kwelikweli.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaa hii kali sana aisee!
 
siyo ulevi tena huo ni uduanzi, nimecheka sana
 
Nimecheka sana nilikuwa offmood

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mlevi mmoja alioa mke. Mkewe
alikuwa hajatulia hata kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari
na msela, mlevi akarudi home
ghafla. Mkewe akamwambia yule
msela
usiondoke, lala hivo hivo mume
wangu mlevi
hatagundua.......msela akalala
kweli........basi mlevi akapanda
kitandani wote watatu wakalala.....
... Baada ya muda kidogo mlevi
akagutuka, akagundua utofauti
hapo kitandani, akahesabu miguu
na kuona ipo sita, akamshtua
mkewe,....."mke wangu,mbona
miguu ipo sita nani kalala
hapa??"....
Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka
hapa na pombe zako,miguu sita
itoke wap hebu shuka kitandani
uhesabu vizuri..!
Mlevi akashuka, akahesabu..
Moja..mbili..tatu..nne....ahaa
kumbe
kweli nilikosea
kuhesabu,samahan mke
wangu!!

kweliii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom