Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,837
Nilifikia niakaamini kwa dhati kabisa kuwa ukawa walikuwa na nia ya kweli ya kuleta mabadiriko ya kuiendeleza Tanzania…lakini kwa 'trend' inayoendelea sasa hivi nachelea kuamini hivyo!
Inapofikia mtu anasimama mpaka anatoa povu mdomoni akisisitiza kuwa bila misaada Tanzania haiwezi kwenda…afu anaaminisha watz kuwa angeleta mabadiriko…kweli!!!???? Tanzania haiwezi kwenda bila misaada…kweli!? Kwa hiyo tuendelee kuwapigia magoti hao jamaa kwa sababu ya vijimisaada vyao kweli!? Yaani bila jiran yako kukupa msaada nyumba yako inapalaganyika…kweli?
Pia tabia ya kupinga kila hatua njema inayochukuliwa na rais wetu na kuikosoakosoa inafedhehesha sana wanaukawa! Ki ukweli mie hata siwaelewi siku hizi hawa jamaa!