Ni kweli tumeaminishwa na dini zetu tulizokulia kwamba MUNGU ni muumba wakila kitu na kwake maisha ni rahisi na ni kama vitu vinapatikana kwa wepesi sana. Jambo ambalo linaonekana kama sio kweli sana na Kiasi kwamba kupata vitu kupitia MUNGU ni karibu na hawezekani na Kiasi kwamba watu wengi waliojaribu kwa MUNGU waliamua kujaribu pia na upande wa shetani ambako wamefanikiawa na kuamua kuleta sadaka makanisani na wanapewa viti vya mbele kwa Sababu ya ukwasi wao.
Dini ni kitu kibaya sanaa na kikwazo kikubwa katika kumjua MUNGU na kufanikiwa, hata Yesu aliikemea dini kwa Sababu inawafungia watu milango ya kumuona MUNGU na wanaishia kuziona taratibu za madhehebu yao na watumishi kuliko kumuona MUNGU na wanabaki na maisha hayohayo kila siku.
Kimsingi zipo kweli tatu ambazo mtu akifuata na kutafuta maarifa juu yake vizuri hakika ataona nguvu za MUNGU katika kiwango cha juu sana.
1.Kweli ya Kwanza.
Binadamu wote ni roho, na nguvu yao ya mapambano iko roho ni sio kwenye mwili, mwili ni dhaifu mno na unavikwazo vingi mnoo hivyo huwezi kushindi ukiishi ndani ya mwili na kufanya kwa jinsi ya mwili.
Kwa kujua jambo hili MUNGU anatamani wanadamu wajue kuwa pamoja na kuwa tuna miili ili tuishi vizuri , lazima miili yetu ife kwa habari ya dhambi ili tuweze kuishi. Wagalatia 5.16-17, Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili. 17 Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka. Baada ya onyo hilo la kwanza, angalia onyo linguine tena. warumi 8:10 Na Kristo akiwa ndani yenu, mwili wenu umekufa kwa sababu ya dhambi; bali roho yenu i hai, kwa sababu ya haki.
Maonyo haya mawili ni muhimu sana kwa mtu anayetamani kumtegemea MUNGU kujua, hakuna njia ya mkato kuishi duniani kwa mafanikiao bila kujua haya na kutafuta maarifa zaidi namna ya kushinda. Watu wa dini hawana mpango sana kuwafanya watu wajue kwa Sababu wanataka utukufu uende kwao na sio kwa MUNGU. Dini ni kikwazo kinachoupa mwili nguvu kukubaliana na mambo ya kuoneana huruma na kutiana moyo kwa uovu wakati mapenzi ya MUNGU hayatimizwi vizuri.
Ukisoma vizuri maandiko utajua mawasiliano yote kati ya MUNGU na mwandamu ni rohoni, mapenzi na MUNGU ni rohoni, Utajiri ni rohoni, upendo ni rohoni na nk, hivyo bila kuwekeza kiufahamu juu ya kujua namna ya kuishi na mwili/roho yako maisha yatakuwa magumu sana na huwezi kumfurahia MUNGU na lazima utajaribiwa kumtafuta shetani akusaidie kusongo mbele
Kamfano kadogo, huwezi shinda dhambi bila mwili kufa juu ya dhambi, kuna watu wanatamani kuacha matendo yao mabaya lakini hawezi kwa Sababu miili haijafa, wanajaribu lakini wapi, mpaka umekufa mwili kwa nguvu za Roho utashinda. Mwanadamu ameumbwa kushinda dhambi na ndiyo maana kunawatu hawanyi pombe kabisa lakini mwingine anajaribu kuacha anashindwa, mwingine uzinzi/usharati umeushinda kabisaaa, lakini uongo unamshindi kabisaa. Hii ni kukuonyesha upo uwezekano wa kushinda dhambi ndiyo maana alichokishinda mwezako wewe ni shida na hali wote tu wanadamu wenye damu na nyama.
2. Kweli ya pili
Hatuishi duniani bali kwenye ufalme wa MUNGU , huu ni ukweli mwingine ambao ukiulewa vizuri utafunguka sana. Zipo falme nyingi duniani na zina system zake nmna ya kuwafanya watu wake waishi, wanaosheria zao, wanakula na kunywa kivyaovyao hataka dunia hii ipate matatizo gani wao wataishi tuu kwa Sababu ya system za ulimwengu wao wanaoishi. Na kuna siri sana kuishi kwenye ufalme wa namna hii kwa Sababu ni kwa wanachama tuu na wasingependa wengine wajue mpaka umeingia huko. Mfano mzuri soma free masonary nakadharika.
Mathayo 6.33 utafuteni kwanza ufalme wa MUNGU na haki yake.. MUNGU anatuonyesha kwa upo utaratibu wa kuisha ndani ya dunia, sawa na fremasonary inavyoendeshawa pia MUNGU anaoutaratibu wakuwatunza watu wake dunia, anaolo jeshi la kuwalinda, anayosheria ya kuwendesha, anayo maeneo ya kuwapa chakula na namna ya kuendesha uchumi, anayo namna ya kuongea nao. Na usipokuwa wake kamwe huwezi pata hiyo favour, ndiyo maana ni muhimu sana kuwa makini na dini isikufanye uishe duniani baadala ya kuishi kwenye ufalme wa MUNGU kwa maana hutaona kamwe faida ya kuwa na MUNGU
Ni muhimu sasa wewe mwenyewe kufuatilia tofauti hizi za ufalme/ dunia na kuona kama unaishi wapi na unaweza kufanyeje ili utumbukie huko. Cha msingi kila ufalme unayo masharti yake na jipime kama unaweza yafuata ili ule matunda. Kigumu kwenye ufalme wa MUNGU ni kuacha yale mazoea ya mwili na kuishi kiroho na ni jambo ambalo lazima upigane kwa Kiasi mpaka utajikuta umezoea si unajua mazoea ni taabu.
3.kweli ya tatu.
Binadamu akiondoa limitation za mwili na kiumbe kisichoweza kuzuiwa na chochote isipokuwa MUNGU mwenye aliyemuumba.kwenye rank za ufalme kiumbaji, binadamu ni wa pili baada ya MUNGU then malaika. Hivyo binadamu ni kifaa cha maana cha ufalme wa MUNGU zaidi ya malaika na kikitumika kama ufalme ulivyopangwa kinaweza kufanya maajabu ya kufaa mtu, lakini ufahamu huo haupo. Zaburi 8:4-5 “4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie? 5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima . Naye Yesu anakazia katika kwamba ninyi ni Miungu Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?”
Sasa basi ukizichunguza vizuri hizo kweli 3 nakujifunza kwa undani na ukaishi ipasavyo, utavuka mbali sana kwa habari ya kuishi na MUNGU, cha msingi tumia muda wako kidogo na utagundua baada ya miaka kadha utakuwa tofauti na utayaishi maisha haya bila kuwa na wasiwasi tena.