Kweli Tanzania nitapata mkweli huko?

OK mika kati after 2 years or 3 nikifanikiwa chuo nitakutafuta nakuaminia
 
Last edited by a moderator:
PM ndo wa Canada uyo na kumpata usomjua nayo mtihani mambo ya online mhhhhhhh apo neno
 
olewa na wapopo(wanigeria).......sio lazima uolewe na mtanzania mwenzako......huyo wa kulibeba kama zigo kutoka tanzania wala hamjuani kuna chance akakubadilikia.....mwishoe upate heart attack....
 

Usipate shida mrembo, mbona wanaume wa sifa unazozitaka tupo wengi sana? We ukija chek na mimi tuyamalize, yaani tutaishi popote utakapo na maisha yoyote uyatakayo ilimradi tu tuheshmiane!
 
Last edited by a moderator:

Wewe,sasa nimegundua inawezekana hata wale wanaosema wameolewa na wazungu Marekani ni fix,canada hakuna admonton kuna EDMONTON,Mimi nilienda monaco-France juzi kati,bt siwezi kusahali jina.Ok karibu naona hata lugha yako mother tongue unahisi umeisahau.......ahhh natania tu bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…