Kongosho mapenzi kokote haijalishi wapi. Mii siangalii pochi wala iyo ready made wa tanz nataka mapenzi ya kweli na mtu mwenye tabia nnazo dream. huwezi kukurupuka bora jitahidi kufatilia ni maisha yanayozungumzwa
Hapa unamaanisha kuchoma Makanisa au ni mimi ndio sijakuelewa? maana kiongozi wao yupo jela anaoza huko kwa kesi za uchochezi na ugaidi.Mentor ndo ivo ivo nimalize chuo nije zanzibar au tanzania uko kote kumejaaa wazenj ata bongo muhimu muislam too awe na tabia na hulka za kiislam ila nikimpenda ndo nianze process za kumchukua lakini kunatisha navoskia kila mtu ana wake. KUMEKUCHA UKOOO??? Kweli. Daaa mazali ninasoma sitoshindwa kumleta
Hapa unamaanisha kuchoma Makanisa au ni mimi ndio sijakuelewa? maana kiongozi wao yupo jela anaoza huko kwa kesi za uchochezi na ugaidi.
Ukitaka kuukoleza vizuri huo Uislamu wako ni kwa nini usiende kusoma Uarabuni na badala yake unakwenda nchi ya Makafir Canada?Hujafahamu @ Matola miii sikusudii kuchoma makanisa naheshimu watu wa believe tofauti ila mii Muislamu nitaolewa na muislam mwenzangu dini yangu ndo inaniruhusu ivo samahani usinielewe vibaya
Baniani mbaya kiatu chake dawa, si mnawaita Wakristo Makafir? sasa mbona hamuendi kusoma Uarabuni ili kutimiza sunna za mtume? au Canada kuna Mahakama ya kadhi?wee @ Matola una umri gani hivi mbona nakushinda akili hufahamu, naona uwarabuni na uko wako waislam na wakristo na sijakutukana hapa elewa hilo. Canada ni sehemu too ya maisha yangu niliyojaaaaliwa sina makosa sijajileta mwenyewe huuku. kwa iyo iyo nchi ya makafiri naiheshimu na wao wananiheshimu mana ndo nasoma Mashule yao na wewe pia sijakuvunjia heshiiima upooooooooooooooooooooooo apo chacha umelikoroga mwenyewe lichweeeeeeeeeeeeee ehhhhhhhhhhhhhhh usinilaumu
Jamani naombeni ushauri. Mii kaazi wa Admonton Canada sasa nipo chuo ila nimepanga nikimaliza chuo baada ya 2 years nije kwetu kuolewa ni mzenj because hao wa huku nilowaona sijawapenda kitabia. Tabia zao ni zile zile za kufaaa vidani na mie familia yangu nataka iwe ya maadili ya home.nimejitahidi kumkerebisha kijana mmoja alinipenda ila hapendi mtu amwingilie katika maisha yake anasema huku free kila mtu anaishi apendavyo. Kwa vile ni mdogo sana nimeacha na hayo mapenzi nipo 22 sasa napiga kitabu ila suali kweli nikija uko nitapata mchumba mana naskia kila mtu na wake.Naogopa nisije danganywa mie mana maisha yangu ni ya huku ata kama nikiolew nitaishi huku itabidi nimchukue tooo mana wazazi na familia huku.SAMAHANINI KWAupungufu wa kuandika swahili