ushungi wa zanzibar
Member
- Jun 29, 2015
- 96
- 29
yani hii nchi inatakiwa iingizwe kwenye maajabu ya dunia.......
"Jamani Serikali yenu sikivu inayafanyia kazi hayo yote, tuweni watulivu"-VIONGOZI
Inasikitisha sana, tunakua wa kudandia mambo na kuacha sijui viongozi wetu akiwemo Raisi wamechukuliwa misukule ama vipi, walianza na KATIBA MPYA, hawakumaliza wakaja VITAMBULISHO VYA URAIA hawakumaliza wakaja BVR, sijui hili wanaweza kuliacha warukie lipi!
Umesahau na vazi la Taifa hawakumaliza.
Under Jakaya,the country lost ten valuable years! ! He deserves to be impeached for what he has done to the country.