Kweli slaa alishinda urais!!

Kweli slaa alishinda urais!!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:
 
Mimi nimehama jana palepale uwanjani ,nikarudisha kadi yangu ya kijani na njano yenye jembe na nyundo......peopleeeeeeeeeeeeeeeees power
 
ndugu hilo halina shaka kabisa. Dkt wetu alitumia tu busara ya kutoyakuza mambo ili nchi itawalike maana alishaona akina gadafi wa Tanzania walivyo waroho wa madaraka.
 
dahhhhh Mungu tuepushie matatizo ndan ya Tanzania yetu mhhhhhhhhhh,
zmebak cku 8 tu
 
Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:

Duh kweli wajinga wali wao, ule umati wewe waliofika pale si wapiga kura ungeuliza wangapi waliojiandikisha na kupiga kura ungeshangaa idadi yao ilivyo ndogo, ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi mzee !
 
msihofu hata JK anajua hakushinda, ila yuko pale kwa sababu ya shinikizo la mafisadi. Na ndiyo maana issue ikitokea, yeye anachukua passport yake anatimka kwenda ughaibuni, eti kusuluhisha matatizo....baada ya gongo la mboto ni mfano rahisi kukumbuka, alitimkia Mauritania eti kusuluhisha gogoro la ivory coast. wakati sisi tuna issues nyingi sana.
 
Duh kweli wajinga wali wao, ule umati wewe waliofika pale si wapiga kura ungeuliza wangapi waliojiandikisha na kupiga kura ungeshangaa idadi yao ilivyo ndogo, ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi mzee !

think twice, mbona suala la idadi ya wapiga kura lilishawekwa clear? au hutaki kutaka kujua na kukubali?
 
Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:

Zitto au Mnyika wakija gombea Urais nitahamia rasmi CHADEMA! Slaa anatia aibu umri wa miaka 65 hana familia bado ana mchumba!
 
Zimebaki sekunde kama 691200, na kadiri zinavyo count down ndivyo hasira inavyozidi kuongezeka
 
think twice, mbona suala la idadi ya wapiga kura lilishawekwa clear? au hutaki kutaka kujua na kukubali?

Wengi wao walioandamana si wapiga kura, na hili linajulikana na hata repoti za uchaguzi zinasema. Ww hujiulizi kwa nn watu wanajiandikisha wengi na hawapigi kura ?
 
CCM,imetengeneza majuha wengi,akili wala macho yao hayawezi kuona na kufikiri ni kitu gani watanzania wanakitaka.Fahari yao ni kuvaa manguo ya mgomba.
 
yaliyotokea jana mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba dr.willbrod slaa(ph.d),alishinda uchaguzi mkuu wa oktoba 31 kama rais wa tanzania.amempa mkwere siku tisa kabla ya kupa-libya hapa petu.kuanzia sasa rais wangu slaa.....naiacha ccm,kwaherini wanachama wenzangu wa ccm.:flock:

hureeeeeeeeeeeeeee.....safi sana the chosen.....uje na wanachama kadhaa pia .....
Sasa umechagua njia iliyo njema.....na ya kumpendeza mungu!
 
Zimebaki sekunde kama 691200, na kadiri zinavyo count down ndivyo hasira inavyozidi kuongezeka

Nijuze sijakuelewa katika sekunde (bold) hizo zina maana gani? au ndo tujiandae kuchukua nchi zikiisha
 
Zitto au Mnyika wakija gombea Urais nitahamia rasmi CHADEMA! Slaa anatia aibu umri wa miaka 65 hana familia bado ana mchumba!

ZITO mtoe, hakuna mwislam atakayepewa nafasi ya kugombea urais CHADEMA mnyika sawa ni kijana wao wa kikatoliki wamemkuza wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom