matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
yani we ndo unajua leo??? j k alichaguliwa na Rajab Kravu,Lewis makame,Said Mwema na gen shimbo na mwamunyange bila kumsahau jack zoka!!Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock: