Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
rafiki sasa huu ushauri gani?
yaani huyo awe wa majaribio?
yaani nimecheka mpaka watu wananiona kama mwehu vile, lol!
I know my dear, wakati natype nilifikiria kuhusu somebody kuwa 'wa majaribio' but l continued anyway. I kind of understand him and what he is going thru; ndio maana kukubaliwa or atleast kinachofanana na kukubaliwa kinaweza mboost.
Ofisini tuna mkaka mmoja, he is in early 40s now na hajaoa; kila anayemtongoza anamtolea nje, na mbaya zaidi hajui kabisa namna ya kutongoza na hajijui kama hajui. Wanaompenda anawaona hawafai, anang'ang'ania wasiompenda. Ver sad kwa kweli!