Kweli siwashangai wanaolia kwa sababu ya mapenzi

DSpecial

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
482
Reaction score
162
Wazee leo yamenikuta jamani, yani unatokea kumpenda msichana, unamueleza nia yako juu yake then bila sababu yoyote ya msingi anakukataa tu. Dah!.....kweli inahitaji moyo na uvumilivu wa hali ya juu sana kuishi as a
single one.
 
Hahahaha pole sana
Hawezi kukataa bila sababu sema wewe unaona sio za msingi! Kwani ni mara yako ya kwanza kukataliwa?

Sio kanuni kwamba unayempenda ni lazima na yeye akupende. mapenzi hayana kanuni, unaweza kupendwa na usiyempenda, kumpenda asiyekupenda au kumpenda anayekupenda.
 
Sababu ya msingi ndo ipi?
kupenda au kutokupenda hakuitaji sababu ya msingi..

Mkuu, unajua mtu umeongea nae na amekuelewa the baada ya siku mbili tatu, anaanza kukupa visa tu vya hapa na pale ambayo moja kwa moja unaona kabisa kwamba huyu hana nia na wewe.
 
Mimi yaliyonikuta leo ni balaa,nimemwagana na wangu jamaniiiii! Its a long story
 
Kama kakukatalia ni sawa tu maana nyinyi wanaume mnapomfuata mtu mnakuwa wanyenyekuvu alafu baadae binti akishakuwa kwenye himaya yako
 
Hahahaha pole sana
Hawezi kukataa bila sababu sema wewe unaona sio za msingi! Kwani ni mara yako ya kwanza kukataliwa?

Ndugu yangu hii ni kama mara yangu ya pili kumu approach msichana. Mara yangu ya kwanza sita sahau, ilikuwa chuoni nilipata za uso hadharani kwa kurushiwa maneno ya dharau mchana kweupe, na toka siku hiyo sikutamani tena kumu approach msichana wa aina yoyote ile. Ila uzalendo ulinishinda nikaona ngoja nijaribu tena kumtafuta nimpendae, ndio yamenikuta haya sasa.
 
pole sana, jaribu kutongoza yule ambaye tayari ameshow interest kwako ili ugain confidence kwanza.
 
Sio kanuni kwamba unayempenda ni lazima na yeye akupende. mapenzi hayana kanuni, unaweza kupendwa na usiyempenda, kumpenda asiyekupenda au kumpenda anayekupenda.

Mkuu unayosema ni kweli, ila kukataliwa na mtu unaempenda kwa dhati, aisee inauma sana ndugu yangu
 
Wazee leo yamenikuta jamani, yani unatokea kumpenda msichana, unamueleza nia yako juu yake then bila sababu yoyote ya msingi anakukataa tu. Dah!.....kweli inahitaji moyo na uvumilivu wa hali ya juu sana kuishi as a
single one.
ndo maana nashukuru mimi ni mdada, hii kazi ya kutongoza ningeiweza kweli? sijui
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daa wawili tuu una kata tamaa!
Usikate tamaa ila tatizo unaonekana unaogopa kukataliwa!
Hizo dharau ni kawaida na watu wanatofautiana!

Ndugu yangu hii ni kama mara yangu ya pili kumu approach msichana. Mara yangu ya kwanza sita sahau, ilikuwa chuoni nilipata za uso hadharani kwa kurushiwa maneno ya dharau mchana kweupe, na toka siku hiyo sikutamani tena kumu approach msichana wa aina yoyote ile. Ila uzalendo ulinishinda nikaona ngoja nijaribu tena kumtafuta nimpendae, ndio yamenikuta haya sasa.
 
Hahahahahahahaha
FP ungeweza style ya kulia kama mtoto?
ndo maana nashukuru mimi ni mdada, hii kazi ya kutongoza ningeiweza kweli? sijui
 
Last edited by a moderator:
COME ON!!!!!!!!!!!!!!!!!! Itakuwa anatumia old tactic ya USINIKUBALI HARAKA HARAKA!!!!!!!!!!

Serioulsy i didnt think the accient way of sayin NDIO NIMEKUBALI still exist!!!!!!!! Like seriously!!!!!!!!!!

You cant get a yes i agree from me even with an AK 47 pointed to ma brain! Its just BABERIC!!!!!! And very unlady like!

The hint to not gettin ditched is DONT ASK!!!!!!!!!!!!!! JST TENGENEZA MAZINGIRA AND TAKE WHAT IS RIGHTFULLY YOURS!!!!!!!!!!!!

Girl sometimes like guys with more balls! (Dnt get me wrong i aint sayin you got no balls! Hell No! Bt maybe you need to put them in some actions a little.)

Well most girls (Me excluded ofcourse! are always some how undecided, not so sure, and comfused either to say Yes or No. ) Hence it is Necessary and Mandatory for a MAN TO TAKE THE LEAD!!!!!!!!!

By the time she figures out maybe she doesnt like you that much, Boy you have been places and if you were sharp who knows? TIMIN IS ALL THAT COUNTS.

It aint personal! Im jst tryin to make comversation!
 
Kama amesha onesha interest kuna haja ya kumtongoza? Hapo si ishara tuu atatumia au kujisogeza karibu tuu?

pole sana, jaribu kutongoza yule ambaye tayari ameshow interest kwako ili ugain confidence kwanza.
 
Hahahahahahahaha
wengine wana kubali haraka!
Eti Ak 47!

Back
Top Bottom