Kweli shekeli mwana kharam

Sasa huyu bibi kama hajatoka kimaisha miaka yote anakumbuka kujitoa miaka 70+, amakweli ze mbululazi wako wengi.
 
Baada ya kuona hiyo picha kwa kweli nimeishia kucheka tu.
 
Angefanikiwa huyu, tungekua ntunaongea mengine..
 
Utakuta kabebwshwa tu hajui lolote ameahidiwa vijisent bas amejitoa mhanga bila ye kujijua maskin ya mungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…