Kweli Prof Lipumba tutakukumbuka

Kweli Prof Lipumba tutakukumbuka

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Kila siku najifunza, naanza kuamini juu ya UADILIFU wako wewe na DR hakika dhamira ilikusuta kwa kutoshriki kundi la...... Kweli, "Imani inazaa matendo".

Imani uliyonayo imejifunua katika tendo ulilolionyesha kujiondoa ktk kile ulichosema dhamira inakusuta.

Ahsante, tupo tunaokuelewa.
 
Attachments

  • 1443084411288.jpg
    1443084411288.jpg
    23.9 KB · Views: 2,241
Live long ALHADJ PROF IBRAHIMU HARUNA LIPUMBA ili wanafiki, wazandiki, vizabizabina na wachonganishi waendelee kukufahamu kuwa wewe ni muadilifu na una hofu ya MWENYEZI MUNGU na ndio maana ulikataa kushirikiana na WAOVU kuweka waovu madarakani kwa manufaa yao binafsi

MUNGU AKUBARIKI SANA
AMEN
 
Ameenda kutubu..maana mabilion ya ccm aliyoyabeba hata anashindwa aanzie wapi kuyatumia

UKAWA wakiingia madarakan tutamdai alipe VAT tu
 
Km alichukua mamilioni ya ccm tutegemee akirud atatuambia ukweli kwani dhamira itamsuta pia baada ya ibada.
 
Km alichukua mamilioni ya ccm tutegemee akirud atatuambia ukweli kwani dhamira itamsuta pia baada ya ibada.

Acha upotoshaji, hata leo Mbowe akiondoka atakuwa kachukua mabilioni kutoka CCM, tumia akili
 
Kila siku najifunza, naanza kuamini juu ya UADILIFU wako wewe na DR hakika dhamira ilikusuta kwa kutoshriki kundi la...... Kweli, "Imani inazaa matendo".

Imani uliyonayo imejifunua katika tendo ulilolionyesha kujiondoa ktk kile ulichosema dhamira inakusuta.

Ahsante, tupo tunaokuelewa.

kwa wanaccm watamkumbuka daima kwa kuwa amekubali kusaliti mabadiliko
 
Sahivi CDM iko chini ya wafanyabiashara ambao sasa wanachangia chama gizani, si ili umma ujue tena, imegeuka ni siri ya mwenyekiti na genge lake na akina mtei ..alafu eti wana uchungu wa kulikomboa Taifa ..hili genge?
 
kwa wanaccm watamkumbuka daima kwa kuwa amekubali kusaliti mabadiliko

Amefanya ni unachoona kimewanufaisha ccm? Hebu muwe na hofu ya Mungu, sio kutumia ma.......lio kufikiri na kuropoka tu.
 
Prof atabaki kuwa Prof...sio wale ma Prof giza waliobaki kutanua matumbo yao..wakati ukweli wanaujua
 
Huwezi zuia jua kwa mkono. Prof. Uliona Mbaaali sana. Ni vizuri kujiweka kando kuliko kubeba dhamana ya majanga ya baadaye.
 
Huyu ndio Lipumba ninayemjua mimi Daima huwa na maono ya mbali ndio maana alijitoa mapema sana katika Muungano wa kinafiki unaoendelea kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom