Kweli pesa ina nguvu

Kwamba hao ni walinzi wake ama? Mbona manyama uzembe
 
Ndugu yangu aliimbaga "pesa ni sabuni ya roho, ukiwa nazo hata ukiwa mdogo utaitwa Mzee"
 
Hahaa. Kuna jamaa angu aliachwa na manzi hawa wanajiita 0.5,manzi akamtumia sms 'hanimanito' akiwa anamaana Honey Money Talks. By the way mshana jr namba yako niliipoteza nitumie Pm.
Duu kumbe ndo maana yake! Hata mimi ningezinguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…