Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Alteeza ni kama million I 0 had I 4. Hivyo ni vipesa vya ugolo tu mkuu
 
Alteeza ni kama million I 0 had I 4. Hivyo ni vipesa vya ugolo tu mkuu

Haaaa kumbe ni iyo pesa nikijua ni kama mili 25 ivi mkuu ila kwa sisi wa hari za kawaida milioni 14 si ndogo mkuu kuzipata ndan ya miezi mitano tuu hahahahaha
 
siku hizi nao wamejibariki bhanaa,kampuni ya 0715 imewapa fursa sawa na wanawake.
 
Da umejua leo mkuu
 
Miez 5 mbona mingi sana. Sasa we ulitakaje, aendelee kuwa masikini?
Yaani mpnz wako kakuacha huko alikoenda kapiga hatua ya maendeleo wewe unaumia nn? Acha roho mbaya kwann hupendi mafanikio ya mwenzio
 
Tena ashukuru aliachana na wewe unaonekana ulikuwa unamtia gundu tu.

Kuna thread ilikuwa inasema........unaweza kuwa na mtu ukaandamwa na mikosi.......au bahati.........haya sasa........ndio hiyoooo..............
 
Aje uku Mombasa atapata na yeye gari yake Benz mpya kabisa wafadhili tupo kibao!.
 
Mama yako ni jinsia gani?
Yani siku hizi tunavyo penda ku generalise mambo....daah
hajatukana lkn amesema tu kweli mwanamke si mwenzio...au we unataka kusema mwanamke ni mwenzio!!
 
Wivu tu unakusumbua, ulijua ulivyomwaga basi utamkuta choka mbaya kapauka ili uone bila wewe yeye haishi, sasa yamekushuka shuuu. Na huo ni mwanzo embu mpe muda uendelee kushuhudia vingine
 
Ndio hivyo kaka,, cha msingi usikate tamaa,, wewe struggle na maisha lazima utatoboa,,, penye nia pana njia,,
 
Wivu tu unakusumbua, ulijua ulivyomwaga basi utamkuta choka mbaya kapauka ili uone bila wewe yeye haishi, sasa yamekushuka shuuu. Na huo ni mwanzo embu mpe muda uendelee kushuhudia vingine

yaani wanaume wanapenda mkiachana basi shida zikuandamee,upaukee na kufulia vzr, basi roho kwatuuu, aagggrrr, tupa kule songa mbele bila kugeuka nyuma mpaka anaisoma namba kama hvi!!
 
Mbona watu mmetafasiri maelezo yangu vibaya jamani mara wivu mara namkosi mara hata sisi tunataka tutoe airtel hahahahahaha hapana jaman nimeshangaa sana kwakua mimi nayafahamu maisha yao fika na hari yao kwa ujumla na mimeoneshwa hiyo gari na rafiki yake wa kike akanipa data zote kua kapata mzee mmoja anaweza kua kama babu yangu amemununulia gari ila yule mzee wanamhisi ni postive..ndio nikawa nashangaa kua ndani ya miezi mi tano kashamiliki gari jaman its wonderfull sikupenda kufatiria juu ya huyo mzes coz it is non of my biznesa ila nimeshangaa kumiliki gari ndan ya mda mchache hivyooo wakati kwaoo maisha sawa na ya kwetu au bora hata kwetuu basiii msinielewe vibaya jaman
 
Wivu tu unakusumbua, ulijua ulivyomwaga basi utamkuta choka mbaya kapauka ili uone bila wewe yeye haishi, sasa yamekushuka shuuu. Na huo ni mwanzo embu mpe muda uendelee kushuhudia vingine

Ni kweli madam ila sina wivu nae na namuombea mema tuu nimsshangaa tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…