Hahahahah Mkuu Nakuelewa Sana. Waache Wadange Wee Siku Zikikaa Sawa Watahitaji Na Tutawaowa Kama UchebeNikawa nashangaa ,MTU mmoja anasema "Kwan ndoa nini bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Nkamwambia ,kusema ndoa nini bana wakati unaitaman Alafu unaishia kudanga danga izo sio akili nitope lakufugia minyooo!!.
Kama kawa yaaan ,,mie huwa naomba Afya tuuu njema na uhai basi.Hahahahah Mkuu Nakuelewa Sana. Waache Wadange Wee Siku Zikikaa Sawa Watahitaji Na Tutawaowa Kama Uchebe
aminNa kila kiumbe aolewe! Amen!
Kila kiumbe kiolewe??? Tutake radhi wanaume kabla sijamimina mvua ya laana...Na kila kiumbe aolewe! Amen!
Hivi kumbe enh? Kuna mdada mmoja anajifanya hataki kusikia habari ya ndoa, kumbe anatuzuga tu?Sasa mtu akiolewa asifurahi jamaani aonyeshe huzuni wakati maisha yenyewe mafupi haya.
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hivyo ikitokea furaha muhimu bana.
Absolutely trueeee . hayupo hayupo hata mmoja ,huwa ni 'sizitaki mbichi hizi[emoji23][emoji23]".Hakuna mwanamke asiyehitaji ndoa, huwa ni maneno tu ya sizitaki mbichi hizi .....
Haahahah Ngoja Tu Watashtuka Umli Umewatupa Mkono. Sijui Nyodo Zao Wanazani Ndiyo ZitawaoaKama kawa yaaan ,,mie huwa naomba Afya tuuu njema na uhai basi.
Hata diamond anakuambia "Ndo kwanzaaaaa nina 28[emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji122]
Anakuzuga huyo babu.Hivi kumbe enh? Kuna mdada mmoja anajifanya hataki kusikia habari ya ndoa, kumbe anatuzuga tu?