gwangaeto
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 653
- 759
Baba anaweza kupata mahela akawa ananunua mabaskeli tu, wakati huo watoto wanalala njaa wengine wanatembea peku na viraka makalioni.
Lakini mama akipata hela atawanunulia watoto chakula, nguo mpya, na poketi mane atawaongezea. Maisha mazuri sana ukiwa na mama.
MAMA OYEEEEEE
Lakini mama akipata hela atawanunulia watoto chakula, nguo mpya, na poketi mane atawaongezea. Maisha mazuri sana ukiwa na mama.
MAMA OYEEEEEE