skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 581
- Thread starter
-
- #41
Una uhakika gani yeye ndo ana baraka au mkosi?Wewe ndo mwenye gundu ulikuwa ufe ila baraka za huyo mwanamke unapata majeraha kidogo tuu. Ngoja siku upate ajali halafu usiwe na upako wa huyo mwanamke uone utakavyokatikakatika hiyo miguu.
Inawezekana mkuuKumbe mwenzetu ushapata bahati ya kujua kinachoweza kukuua
Heeee, Hujaolewa?Kuna mwamba tukiachana tu wanamwibia hela😂🤣🤣 .....hivi hapa full kudeka....akiniacha tu anacho😂🤣🥵🤒
Baada ya tukio la jana ndo nimehitimisha hisia zangu zilikua sahihiUshamjua mbya wako na bado umemkumbatia kuna siku utakutana na roli ndo akili itakukaa sawa, achana na huyo jini
Sawa mkuuAisee, bora kupoteza hela kuliko afya ya mwili wako Bro, kimbia fasta kama Babuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara ya nne ajali itakuwa korodani moja itapotea[emoji1787][emoji1787]
Ndo wetu hawaWanawake bhana
Una uhakika gani ni mke wa mtu? Kwani nimesema nilikua nakimbizwa?Tuki waambia wake za watu sumu mnasemaga kuna maziwa haya sasa...[emoji68][emoji480]
Sawa mkuuKama jibu unalo Kaa nae mbali.
Kama wapo wanawake wanaopitia hayo nao waje waweleze maana mimi sijaeleza kwa double standard!Hii ipobpande zote.
1. Kama kuna mademu wana mikosi ukilala nao pia wapo wenye baraka ukilala nao.
2. Kama kuna mademu wenye mikosi ukilala nao, pia wapo wanaume wenye mikosi ukilala nao.
3. Kama kuna wanaume wenye mikosi ukilala nao, basi wapo pia wenye baraka ukilala nao.
No double standard
"Uzinzi" ni nini?
Haya sio mambo ya kuombea hivyo mkuukapige mara ya 4 tukuzike mkuu
Ndiyo mkuuHeeee, Hujaolewa?
Sijui,huenda ananipanga tuDuuuh iyo noma sana ko mchizi hakai na salio kabisa
Naskia wanasema maalbino wana hii sijui kama ni kweli.....na kuna wale ukimvua tu kesho yake ni full kupata pesa na michongo.
..ila muhimu tu asikupe maradhi, manake tunavyokamia game michubuko haituachi salama.