skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 581
ššš¤£š¤£š¤£Muoe kabisa ili umalizike na miguu yenyewe kabisa uwe kiwete.
Wewe ndo mwenye gundu ulikuwa ufe ila baraka za huyo mwanamke unapata majeraha kidogo tuu. Ngoja siku upate ajali halafu usiwe na upako wa huyo mwanamke uone utakavyokatikakatika hiyo miguu.Habari wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Kwakweli wale waliowahi kusema kuna wanawake ukilala nao basi unapata mkosi mimi yamenikuta!
Kuna manzi moja nimeshaipiga mara tatu na katika mara zote tatu kila nikishatoka kumzagamua basi lazima nipate ajali ya pikipiki ninayomiliki!
Basi mara ya kwanza nimekula kipochi wakati narudi zangu home nikagonga jiwe wakati nabadili gia nikateguka kifundo cha mguu.
Mara ya pili nikaanguka na kuumia goti hadi nikashonwa nyuzi 3!
Leo tena nimeipiga hadi asubuhi jioni hii nimegonga mbwa na nimeumia tena goti.
Kupitia haya matukio ya kufanana mizinga isio na kichwa wala miguu nimehitimisha kua ni kweli lisemwalo kua wapo wanawake wanaokua na gundu na nuksi wapo!
Ushamjua mbya wako na bado umemkumbatia kuna siku utakutana na roli ndo akili itakukaa sawa, achana na huyo jiniHabari wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Kwakweli wale waliowahi kusema kuna wanawake ukilala nao basi unapata mkosi mimi yamenikuta!
Kuna manzi moja nimeshaipiga mara tatu na katika mara zote tatu kila nikishatoka kumzagamua basi lazima nipate ajali ya pikipiki ninayomiliki!
Basi mara ya kwanza nimekula kipochi wakati narudi zangu home nikagonga jiwe wakati nabadili gia nikateguka kifundo cha mguu.
Mara ya pili nikaanguka na kuumia goti hadi nikashonwa nyuzi 3!
Leo tena nimeipiga hadi asubuhi jioni hii nimegonga mbwa na nimeumia tena goti.
Kupitia haya matukio ya kufanana mizinga isio na kichwa wala miguu nimehitimisha kua ni kweli lisemwalo kua wapo wanawake wanaokua na gundu na nuksi wapo!
Hiiii[emoji102][emoji102][emoji102]Kuna mwamba tukiachana tu wanamwibia hela[emoji23][emoji1787][emoji1787] .....hivi hapa full kudeka....akiniacha tu anacho[emoji23][emoji1787][emoji3062][emoji855]