Kweli nimeamini kuwa mapenzi hayajaribiwi

George Barran

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2015
Messages
206
Points
250

George Barran

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2015
206 250
Natumai wote mu wazima humu kwa jukwaa acha nielekee kwa mada

Miez kama miwili iliyopita nilijikuta naingia kwenye mahusiano na binti fulani lakn yalikuwa mahusiano ambayo sikuwa na mipango nayo yaani nilitaka abaki kama rafiki tu kwangu Coz ni mtu ambae tulishazoeana sana

Kwa kifupi uyu bibie baada ya mazoea kati ya mm na yeye kuzidi nafikili alianza kuvutiwa na mm na nilikuwa nalijua hilo ila nikawa kam cjui kinachoendlea yaan nikawa nampotezea anapoleta stor za mapenzi

Baad ya mda kidogo alipata safar ya ghafla akaondoka bila hata kuaga na kwa kiwango cha ukaribu tuliofikia ilikuwa si rahisi yey kuondoka pasina kuaga alafu kibaya hatukuwai kuexchange contacts na ukaribu wote huo nilimkwepa sana alipoleta mada za kuexchange contacts.

Bas bhan si unajua tena waswahili wanasema hafaihafai kumbe apumbaza baada ya siku mbili tatu kupita nikaanza kummiss coz n mtu mcheshi na mweny stor san ila ckuwai kuvutiwa kimapenzi nae.

Ee bhana huwez amini nikaanza kuhustle kutafuta contact yake kwa watu wake wa karibu zaid nilifanikiwa kupata na nikamtafuta alifurahi sana nilipojitambulisha ila alinilahumu kwa kuwa mimi ndio kikwanzo kwenye contacts exchange
Baada ya hapo stori zikaanza kama kawaida na nikawa napokea texts za mahaba kutoka kwake baada tu yakupata namb yangu

Baad ya muda fulani akarudi eneo ambalo alipokuwa anaishi ila alirudi kwa speed kubwa mno na alifanikiwa kuniteka nikaanza kumega tunda.

Tukaanzisha mahusiano ambayo hayakuwa na tija yeyote basi kutokana na udhaifu wake na mapenzi yake kwangu nilimpelekesha ninavyotaka mimi nikamliza sana.

Ila mambo yamebadilika nilipanga nipige nisepe lakini wapi nimekwama tena naisi kabisa chembe za upendo zimerudi kwangu mimi ndio ninayetaabika kwa sasa alafu isitoshe tayari ni mjamzito

Nipo njia panda msaada wa mawazo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joined
Dec 13, 2019
Messages
29
Points
45
Joined Dec 13, 2019
29 45
Mapenzi ndyo yalivyo hapo we muoe tu

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
4,530
Points
2,000

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
4,530 2,000
ndugu muoe huyo mwanamke ukimtelekeza Mungu atakuletea msela mavi ataondoka na roho yako oa maisha yaendelee hawa wa snap chat tuachie sisi
 
Aidanna

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Messages
527
Points
1,000

Aidanna

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2019
527 1,000
Hamna tatizo hapo kwa kuwa umezama kabisa na mimba kabeba, means analeta chata lako, tulia jenga maisha na mdada ndy familia tena na emoji naweka ile iliongoza duniani 😂😂😂😂😂😂
 
Forum statistics

Threads 1,392,570
Members 528,644
Posts 34,111,783
Top