Yani watu baada ya kugundua tu kuwa wameanza kushikwa pabaya na wachimba mafuta,bila ya haya wazee wa kimila au timu ya fundi wale wapiga ngoma si wakatuma mizimu yao ikazima umeme.
kuona haitoshi wazee kimila toka ufipa wakatuma kombora lao likashusha mvua.
sasa kama mnajiamini na kwao mkaloge.