maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,416
- 3,236
- Thread starter
- #41
Tena sana coz unajua ni mvumilivu harafu ananiheshimu sana, harafu akisikia mwanamke mwenzake malaya anamchukia mpaka basi.Na akisikia mwanamke mwenzake kamkimbia mume sababu ya maisha magumu anasikitika sana.Halafu ukoo wao umebarikiwa maana wanawake 95% wanazeeka na waume zaoNimegundua unampenda sana mkeo