KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,203
- 1,957
Shida si mtoto, shida ni mzazi wake.
Hata wewe uliyetoa uzi huu kwako si salama hata kidogo tusidanganyane kabisa.
Shida ni nyie mnaojiita wasomi wakati hakuna kitu.
Badala ya kushangaa mdogo wako au mtoto wako au ndugu yako yeyote akitembea uchi na kinanii (...mbe) chake kinaonekana we unaenda kushangaa mtoto wa miaka 6.
Nyambafu