Kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

Kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

hunchback

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
658
Reaction score
289
Hivi kizazi cha sasa watoto wetu tunawaleaje? Leo mjini Morogoro mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliwaduwaza watu waliokuwa ibadani baada ya kuvua nguo na kujisaidia haja ndogo katikati ya umati wa watu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya mnada. Kitu kilichozua mshangao ni kuwa mtoto huyu hakuonyesha chembe ya uoga baada ya kumaliza haja na kwenda alipokuwa mamaye huku akicheka. Hivi ni kweli mtoto wa miaka sita anashindwa kumuambia mamaye nataka kujisaidia. Ni malezi gani tunawapa watoto wetu?
 
Ukimdekeza mtoto atakuadhiri mbele ya watu...kuna kale kamsemo ukicheka na mbwa atakufuata hadi kanisani/msikitini
 
Cha Ajabu Nini Hapo?
Mtoto Wa Umri Upi Anapaswa Kufanya Alichofanya Huyo?
Jigo
 
Rudisheni Pesa zetu za account ya Escrow mlizoiba,hizi hadithi wasimulienu wanenu mliowashibisha matumbo yao kwa pesa mlizotuibia!

Wezi wakubwa wa rasilimali za taifa!Ptuuuuu!
 
Rudisheni Pesa zetu za account ya Escrow mlizoiba,hizi hadithi wasimulienu wanenu mliowashibisha matumbo yao kwa pesa mlizotuibia!

Wezi wakubwa wa rasilimali za taifa!Ptuuuuu![/QUOTE
Grow up man, not everybody has participated in Escrow scandal . I just wanted to hear from others how we raise our kids. Life has to go on! #IPTL bring back our money#
 
Cha Ajabu Nini Hapo?
Mtoto Wa Umri Upi Anapaswa Kufanya Alichofanya Huyo?
Jigo

Kwa mtoto wa miaka sita mi nimeona alichofanya sio kizuri. Mtoto ambaye hawezi kumuambia mzazi/mlezi kuwa anahitaji kujisaidia akifanya alichofanya huyu mtoto hamna ambaye angeshangaa.
 
Ukimdekeza mtoto atakuadhiri mbele ya watu...kuna kale kamsemo ukicheka na mbwa atakufuata hadi kanisani/msikitini

Kwa kweli, maana ni mtoto wa wazazi wa kisasa haswa ambao hata kumkemea mtoto anaona atamuumiza. Ila mamavyake kajisikia aibu kweli.
 
lakini umri wake ni mdogo.. bado hajajua kufikiri..akikua ataacha
 
Miaka 6 ashanza darasa la kwanza huyo,hapo ni malezi tu akikua ataacha...haya ludisheni mifweza..
 
Huenda kuna tatizo zaidi ya malezi hata motto wa miaka 3 akijisaidia mbele ya watu bila aibu itashangaza na mama yake wakati huo alikuwa wapi?
 
akili za wanachama wa ccm sijui zikoje badala ya kushangaa waliokula pesa Escrow unamlaumu mtoto wa miaka 6 kujisaidia hadharani...jinga wewe
 
Back
Top Bottom