Mabagala
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,477
- 327
Ni rafiki ambaye nilifanya nae kazi kwa mwaka mmoja na nusu ivi. baada ya kuhama kule kwa karume mwaka juzi akawa anaendesha maisha yake hapa hapa dar, miezi mitano iliyopita aliomba akae kwangu kutokana na matatizo yake binafsi, aliomba akae japo kwa wiki mbili tu. matokeo yake kakaa miezi mingi tu, juzi kumwambia aondoke kafungasha vitu vyake pamoja na laptop yangu, na nikimuuliza anaruka mita mia kuwa yeye si mwizi na wala nisimtuhumu! Nawashukuru Polisi kwa kumtia adabu kidogo japo bado hataki kukubali kunirudishia kitendea kazi changu. huyu ndo rafiki ambae nimembeba vizuri tu muda wote huo, tena kumbeba ile ya kujiachia kama mtoto mdogo. shame on you my friend. see u on court, jasho langu halipotei krahisi rahisi ivyo kama unavyo fikiria.