Kweli mapenzi yana run dunia

Alilia Ruge kwa Zamadari itakua huyo?

BenPol kaimba
"....kidumeee haimaanishi, siwezi kulia , katika mapenzi"
Hii hali isikie tu kwa jamaa omba isikukute ni noma sana
 
wengine ni kama robot aisee hivi hii nayo ni siledi kabisa ya kuleta huku
 
Muwasho kwenye sehemu za makalio hauta kuacha salama, akimaliza kusali nenda akakusugue
Ona sasa unaleta ratiba yako ya kukunwa kwenye makalio baada ya kusali punguza mchecheto binti
 
Hili nimelihakikisha kabisa
Mm huyu baba watoto wangu mkali kinyama wadogo zake wakimuona wanamuogopa balaaa....halafu nikiwa nae nabaki tu kucheka kwangu si mkali hata kidogo.
 
Mm huyu baba watoto wangu mkali kinyama wadogo zake wakimuona wanamuogopa balaaa....halafu nikiwa nae nabaki tu kucheka kwangu si mkali hata kidogo.
Uyo baba watoto wako anataka heshima zaidi ni nzuri sana iyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…