Chalii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee jamaa wewe hamna hata siku moja... Ukapongeza thread yoyote humu wee kazi yako kukosoa, unanifurahisha sana comment zako [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwaiyo ukaona inafaa kabisa kuleta hayo 'makamasi' huku..rubbish!!
Hiyo phrase ya empty set ilianzia wap ?Empty set kabisa, yani idiot
Naomba majibu ya swal languMuache tu binti Wa watu najua añafata mkumbo nimemstahi tu
Alilia Ruge kwa Zamadari itakua huyo?Pamoja na uhuni ubabe wake mademu wakali alionao huyu jamaa leo nimemkuta kapiga magoti anasali uku akilia anatoka hadi makamasi
kisa demu mmoja hivi kasema hataki kuolewa tena na jamaa ukizingatia kuwa hawajawai hata kutambulishana kwa wazazi alafu demu mwenyewe ni wakawaida sana ukilinganisha na mademu wengine wa jamaa
uyu demu atakuwa anakitu cha tofauti sana na mwonekano wake
Ila mapenzi haya kweli hayana ugumu wala ubabe.
Dah we jamaa kila coment yako nadhani neno rubbish umelikariri sana maana lazima uliweke af siku zote uko -veKwaiyo ukaona inafaa kabisa kuleta hayo 'makamasi' huku..rubbish!!
Ilianzia kwa the list/conorHiyo phrase ya empty set ilianzia wap ?
Role model wao ni nani?Mkuu msubili uliemuuliza au role model wao najua wamekusoma wanakuja kukujibu
hakika!Siku zote mapenzi ni kitu kingine bana na huwa hayana mbabe ikitokea yamemshika mtu yanamshika haswa. Huwezi jua huyo dada mbali na ukawaida wake ana kitu gani ambacho kimemfanya huyo kaka ashindwe kuacha kumwaga chozi lake hadharani.
Pole kwake huyo jamaa.
Ningekua karibu na huyo dada ningempa soda na kiti..akae..angekunja na nne kabisa...dadekiPamoja na uhuni ubabe wake mademu wakali alionao huyu jamaa leo nimemkuta kapiga magoti anasali uku akilia anatoka hadi makamasi
kisa demu mmoja hivi kasema hataki kuolewa tena na jamaa ukizingatia kuwa hawajawai hata kutambulishana kwa wazazi alafu demu mwenyewe ni wakawaida sana ukilinganisha na mademu wengine wa jamaa
uyu demu atakuwa anakitu cha tofauti sana na mwonekano wake
Ila mapenzi haya kweli hayana ugumu wala ubabe.
Hayajakukuta na usiombe yakukuteHaya ndio yaleyale ya wamaasai, wakiwa porini ni majasiri kweli hadi wanaua SIMBA lakini wakija mjini hawana lolote kazi kusuka wanawake rasta.
Mwanaume mzima na ndevu zake tena kazinyoa vizuri unaanzaje kulilia 'ke'?
Kwann unasema hivyoNingekua karibu na huyo dada ningempa soda na kiti..akae..angekunja na nne kabisa...dadeki