Mapenzi ni pesa,ukiwa na pesa unampata mpenzi wa aina yeyote unayemtaka.
WanaJF habari za asubuhi!
Mimi ni miongoni mwa wafuasi wa ile imani kuwa mapenzi si pesa, na hapa naweka 1 ya mashairi maarufu sana, kwa waliosoma A level English language na hasa Paper II ama literature wanalijua hili!
EAT MORE
Eat more fruits! "The slogans say"
More fish, more beef, more bread
but I'm on un-employment pay
My third year now and wed.
And so I wonder when I'll see the slogan,
the slogan when I pass
the only one that would suit me,
Eat more bloody grass.
Jamaa kapigika sana tu, na bado alikuwa ndani ya ndoa! Kweli kama mapenzi ni pesa funga ndoa na Bank!
Joe Corrie, Poetry in A - level literature
Anaweza akawa tajiri lakini mwanamke hapati mahitaji ya muhimu, usifikirie wote walioolewa na matajiri wanafaidi utajiri wa waume zao.Km ndio hivo mbona ndoa za matajiri wengi zinameguka? Mbona wengi wana pesa na bado wametalikiana?
Acheni kudanganyana kwa hizo poem, Jaribu kusitisha huduma za kifedha kwa huyo mpenzi wako mke/girl friend halafu tuletee feedback action yake utasikia " mpenzi umepata mwanamke mwingine"
Vinatakiwa vyote viwepo mapenzi na pesa na mapenzi bila pesaKm umeolewa na tajiri afu hupati mahutaji yk means hakuna mapenzi hapi! Ila pesa ipo!