Nini kipimo cha Penzi.?
kipimo cha mapenzi ni pesa...the more u have the more love u get
Hivi jalalani si ndio kunakotupwa visivyofaa? au?
Hiyo class ya wanawake unaokutana nao wanaoshobokea chipsi kuku na mihogo na kachumbari ni ya pande zipi? Nna mpango wa kuanza pimping business, tafwazali.Ni kweli na ndiyo maana unaambiwa mademu wa kibongo si wa kuoa, na sababu yake ndiyo hii. We umeona wapi muhogo wa kuchoma na kachumbali au kuku na chips ikawa ndiyo silaha ya kuto.mba wake za watu? Hapa Bongo hii ni fasheni na huko uswahilini ndiyo kasheshe, unaambiwa chupa ya togwa tu unalala na mke wa mtu mpaka asubuhi.
Hiyo class ya wanawake unaokutana nao wanaoshobokea chipsi kuku na mihogo na kachumbari ni ya pande zipi? Nna mpango wa kuanza pimping business, tafwazali.
Si kweli. Kama wewe ni mwanaume tajiri utapata wanawake viruka njia ambao watapenda pesa zako na si uzuri wala utu wako. Wao watakuja kwako na kujipendekeza wengine watalia kuwa hawajawahi kupenda mtu kama wewe ili mradi wewe tu utegeke na kuingia mkenge kwa kuwajengea nyumba huko ukweni, kuwanunulia magari ya kifahari, na kuwapa pesa za kutanulia. Unaambiwa hapendwi mtu hapa bongo, pochi ni kipenzi.
ukitendwa na mapenzi, unaanza kutunga theories.
kwangu mie hiyo inatosha kuwa unajua kabisa kuwa hapendwi mtu inapendwa pochi...hence ndio maana nikasema kipimo ni pesa....alafu jua kimoja wewe ukishalijua hilo utakuwa huna tabu...sii unajua wanataka pesa basi nawe unawagegeda tuu na kuwa nao wengi...hutaweka moyo wako eti kwa demu mmoja
Sasa hapa unamkomoa nani? Yaani unatombana kwa malengo ya kuliwa pochi? Si bora uhamue moja tu kutombana na malaya ili uwalipe.
eh kwani wadhani mie natombaga nani? mie malaya tuu!!! mie sitaki ujinga wakudanganywa bby i love u kumbe upo after my money....malaya yupo direct to the point...nipe hela nakupa papuchi