agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Mapenzi yanauma etii.Huyo Kaka atakua limbukeni! Maswala kama hayo utayaongeleaje Public
Kwa sababu kwa assessment yako, pamoja na kumfungulia uzi inaonesha umemkubali / unamuwaza / amekukaa. Ungekula tu kichwa mkuu, kwani C kitu gani hadi amlize? Anacho nini ambacho we huna? C kabandua we bandika dada!Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.ππ ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.π
Etii eee..Kwa sababu kwa assessment yako, pamoja na kumfungulia uzi inaonesha umemkubali / unamuwaza / amekukaa. Ungekula tu kichwa mkuu, kwani C kitu gani hadi amlize? Anacho nini ambacho we huna? C kabandua we bandika dada!
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.ππ ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.π
Angalia usipate ugonjwa wa moyoπndo umeamua kuja kunianika huku sio..C aniwazishe naww tena dah
Wengi tu wanapanda .Mimi napenda mbona ..Huyo kaka angekuwa njema kimaisha asingepanda mwendokasi..hlf hivi siku hizi kuna wadada bado wanapenda? Mm najua wadada siku hizi mnachotupendea ni pesa tu.. agata edward
Mapenzi yanauma etii.
π
Nafanyaje sasa Agata nashindwa kumove onAngalia usipate ugonjwa wa moyoπ
Saizi hakuna vurugu.Na vurugu za public transport wanasikilizana je? Ndio madhara ya kuzamia Jiji.
Mwendokasi private au?Saizi hakuna vurugu.
wadada bana nyinyi shida sanaNimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.ππ ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.π
Kutoka kimara kwenda mjini jioni hakuna watu wengi.Mwendokasi private au?