Wale uliosoma nao,walimu wako ni connection,wale unaoishi nao kijijini kwenu ni connection.Hakuna kijiji Tanzania ambacho hakijatoa msomi.Kujitolea ni kutafuta connection.Girl friend,boyfriend ni connection.Mtu unaekutana nae kwenye basi ni connection.Jenga trust kwa watu uliofahamiana nao.Jiunge na vikundi mbalimbali.Mtu wa chuo kukosa connection ni utani labda hauchukulii serious hao unaofahamiana nao.Hadi mamantilie kupata kijiwe anahiyataji connection.Kila kitu kinahitaji connection hats kupiga debe hauibuki tu lazima kuna mtu pale akuunge.