Kweli maisha connection

Mbona rahisi tu kama ni mnywa pombe nunulia watu ila angalia unaowanunulia wawe wale wenye class flani hivi au kama ni muongeaji basi tumia kipaji chako kunafkia maana sikuizi interview mbwembwe tu
 
Hata walio Tiss wote walipata kazi hizo kwa connection,inasikitisha!

Tz bila connection hata msibani unaweza usipate msosi.
Haina shida mkuu ilimradi unapatiwa training kabla
 
nil
Nilomba intern sehem iv ambayo nimakao makuu ya ofice fulani iv apa TZ nikakubarika na mwenye kampun nilipofika oficini kila mtu ananiuliza umeletwa na nani kwani kila mtu ameletwa mgine sijui na mama mngine na baba sijui na nani me nikawambia nimekuja mwenye maisha haya bana
 
Mi mwenyewe connection nimepewa
Tupe njia basi Mkuu na sisi tukomae siku zijazo fujue jinsi ya kujiconnect Mkuu
Nataka niwalime hata laki 500000 nakuendelea wakizingua Mkuu wanipe kazi
 
Siku za nyuma hata tangazo la kazi likitolewa gazetini, nafasi zimeshajaa kwa "connection " unanijua mimi ni nani??
Alaf wanafanya kuita interview kama ushaidi tu alaf hamuitwi ngoo
 
Tupe njia basi Mkuu na sisi tukomae siku zijazo fujue jinsi ya kujiconnect Mkuu
Nataka niwalime hata laki 500000 nakuendelea wakizingua Mkuu wanipe kazi
kuna jamaa hapo juu kawapa namna ya kupata connection pia waweza itumia
 
Na mimi nifanyie mpango mkuu
Msipende kukaa vijiweni kupiga soga au kutumia mitandao ya kijamii vibaya kujipost post maswaga kibao fanyeni kama ndio kazi za kutafutia connection humo sasa unalikuta lijitu liko fb linatongoza mademu insta linalike na kukoment page za jumalokole wakati mwenzake umbea umemnunilisha brevis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…