....kweli mabinti ni noma...

....kweli mabinti ni noma...

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,366
..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae..
..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti...





Source..Tangazo la OMO
 
..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae..
..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti...





Source..Tangazo la OMO

jamaa yuko radhi a hustle town kutwa nzima, apate pesa ahudumie mamaa nyumbani. Source, mtaan.com
 
Hafu sikulielewaga hili tangazo, kumbe ndo hivyo......chezea binti mzuri wewe.
 
Back
Top Bottom