technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,717
- 58,884
Nawewe ulifuatwa chemba na nani?Mkuu, 'Mwigulu' alikufuata 'chemba' nini baada ya ule uzi wako mwanana. Inawezekana unayo hoja lakini thats not your level.
Walikuwa sahihi kabisa wala hakuna uongo wanatakiwa warudi Ccm ndio inaweza kulea wezi lakini kama wanabaki uko waliko maslahi yao yakiguswa wanyamaze .Hata kina Lissu na Lema ni wale wale matapeli wa kisiasa.
Kwa sasa wamekuwa wabeba mikoba ya Lowassa.
Angalia walichokisema na walichokitenda.
View attachment 454163
Naamini hivyo mpaka kufa kwangu.......'umetumwa na wa lumumba wewe'
in Joti's childsh voice
Chadema amna kitu we njoo tuu chama cha mapinduzi, nyooka Tu kama rula karibu technical.Sumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.
Kuuza nyumba za Serikali bila huruma ndio yangekuwa mabadiliko?
Eti tuliuza nyumba za Serikali kwa sababu zilikuwa nyingi shame on you .
Eti ukitaka mambo yako yanyooke vizuri kuwa ccm halafu ukinyang'nyanywa shamba ulilokwapua unaanza kulia lia .
Lowassa miaka mitatu ya uwaziri wake anataka kuleta hadi nvua ya bandia na makampuni ya kitapeli ya kufua umeme.
Halafu akiambiwa fisadi eti Mwenye ushahidi apeleke mahakamani hivi kutopelekwa makamani ndio kigezo cha wewe kutokuwa fisadi?..
Hivi niwaulize swali wafuasi wa Lowassa hivi Chenge ni fisadi au sio fisadi?
Hivi watu kama Lowassa na Sumaye waliotuaminisha kuwa wanauwezo wa kwenda Ikulu wanakosaje uwezo wa kupigania maslahi yao ya kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa mpaka 2020?..
Kazi ya Lowassa na Sumaye kwa sasa ni ipi? Kama siasa wamezuiwa tu wameufyata wakati sio wabunge wala hawana Ajira yeyote ?
Kama mnashindwa kujitetea tu mngeweza kuwatetea watanzania mlio wasaliti huko nyuma?
Hivi hawa wangeweza kuongoza nchi kweli watu wasioweza hata kupigania Ajira zao.
Nashauri lowassa na Sumaye wastaafu siasa. Au watulie sindano iwaingie Mimi nitatetea watu walio very clear ndani ya Chadema kama Lema na Lissu lakini si hawa matapeli.
Chagua moja staafu siasa, nendeni Ccm au maslahi yenu yakiguswa nyamazeni mnatia kinyaa.
Na Lowassa atokaa awe rais wa nchi hii anapoteza muda tu.....mbo,low,sum ni 3 musketeers!
wanautaka urais kwa nguvu zote wanadhani hii nchi iliumbwa kwa ajili yao!mimi naamini kama sio afrika au tanzania ni watu wachache wanataka urais kwa nia njema ya kututoa tulipo ila sio hao 3 musketeers!tanzania imeshakuwa sugu labda abaki mungu aliye juu mwenyewe na malaika zake ndio wataiweza sio.........
yesuuu wangu bora nchi ikose rais tu au waje boko haramNa Lowassa atokaa awe rais wa nchi hii anapoteza muda tu.....
Na waliye uza nae nyumba za serikali na baadaye akanunua kivuko kibovu na CAG akasema kwenye ripot yake kuna ubadilifu kwenye wizara yake ya ujenzi na mtu huyo siku hizi yuko ikulu. Je mtu huyo yeye unamuweka kwenye kundi gani? La ufisadi auSumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.