Kweli Lema ni kiboko

kuondoa wamachinga ni maanadalizi ya mkutano wa kimataifa?
 
ukitaka kutushika kubaya watu wa arusha ongea chochote kibaya dhidi ya rais wa arachuga uone..!
 
Na pia asisahau kuwaambia wasilipe kodi wala ushuru!

Nenda miji yote mikuu duniani kuna utaratibu maalumu wa kufanya biashara, huo ni ujinga na uwezo mdogo anaoonyesha

huyo aliyekuwa mbunge wa arusha
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

Mkuu, ni demokrasia au domoghasia? Ccm wawe na demkrasia?
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

Serikali iliyopatikana kwa kuchakachua kura za ubunge na urais 2010
 
I think the guys underestimate maana ya serikali

asipoangalia ataishia jela na watu watamsahau
 
Siasa bhana, CHADEMA
wakichukua nchi 2015 si wataruhusu machinga mpaka ikulu. Ubungo saivi
safi.

wanawatumia tu kama ngazi kukwea kwenye madaraka. sitashangaa watakapofanikiwa wakiwageuka!
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

hata wewe umekiri Lema ana cheo chochote.Lema ndo RAISI WA ARUSHA
 
Na pia asisahau kuwaambia wasilipe kodi wala ushuru!

Nenda miji yote mikuu duniani kuna utaratibu maalumu wa kufanya biashara, huo ni ujinga na uwezo mdogo anaoonyesha

huyo aliyekuwa mbunge wa arusha

Lakini hyo miji haiko katika nchi znazoongozwa na wasanii jamii ya Mkwer.e
 
I think the guys underestimate maana ya serikali

asipoangalia ataishia jela na watu watamsahau

serikali isiyo halali marazote haina maadili na itasumbuliwa kwa kila hali.haina ubavu
 
Matayarisho ya kuwaondoa yalikuwa bado kukamilika, tarehe imesogezwa mbele wataondolewa tarehe 10 Mei, 2012

anzeni na wezi wa mali za umma mfano Mkulo etc, acheni kunyanyasa waso na kosa
 
Serikali hii inauaibisha utawala wa JK chini ya ccm, wanataka waondoke halafu watakula wapi? Wanataka wakaibe? Hawaoni watakuwa chanzo cha unyang' anyi na uwizi Arusha?

Hivyo, mbona Arusha vibaka wamezidi kila usiku karibu nyumba mbili zinaibiwa ni kwa ajili ya kukosa
maeneo ya Biashara? Kwa mfano maeneo ya Sakina na Kwa Mrombo Vibaka wamekithiri.
 
Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
Wewe lazima ulisumbuliwa sana na utapiamlo wakat wa makuzi yako ndo uelewa wako haueleweki!!!!! Omba majibu kwa hao wamachinga....
 
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.

Lema kesha toa agizo kumjua yeye ni nani si hoja, acheni kulialia nyie magamba legelege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…