Kweli Land Cruiser sio magari bora

Wanajamvi,sasa kama Toyota sio gari imara na salama kwa abiria. Sasa tukimbilie wapi sisi wananchi wa dunia hii ya tatu.?!
 
Tatizo ni hizo Land Cruiser Prado kama aliyokuwa anatumia mama kijo ila kwa ambao wanatumia VX watanipa ushuhuda tofauti hapa
 
Manyaunyau anatengeneza Magari siku hizi. Kuna issue nyingi za ajali za kutengenezwa na wachawi
 
Swala sio uzito wa gari, pekee udereva pia ni ishu? we unakata kona na spidi 100 unategemea ni na hujui kulicontrol gari. Acha vitz paka tu anaweza kusababisha ajali mbaya inatehegemea dereva analiongozaje gari. Kama swala ni uzito ,boma mabasi ys abiria 65 yanaanguka kila kukicha utasema ni wepesi. tafakari chukua hatua
 

Mkuu sio kama hatupendi kumiliki Volvo, tatizo bei yake kibongo bongo iko juu na spare zake upatikanaji sio rahisi kama upatikanaji wa spare za toyota.
 
magari yote aina ya land rover ni imara kuliko hizi land cruisers
 
From now on, Toyota watengeneze millions za hizi Landcruiser na kuzigawa bure kama cheuro kwa mtu yoyote mtaani sababu siyo "bora" kutokana na single and todally random motor accident involving one Landcruiser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…