Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,224
- 166,264
- Thread starter
-
- #61
Angegongewa kibaigwa tungesema alikuwa mwendo kasi sasa hapo alipogongewa hata Bajaj huwezi ku overtake, kwanza hili gari si la mama mtu tu kachomekea, hapo ni makao makuu ya NHC lakini mama kaangukia salender bridge.
Mkuu tusitakiane mabaya kwa nia ovu.Siku likikutupa mtaroni uje kuhadithia.
Mkuu tusitakiane mabaya kwa nia ovu.
Lakini nasema tena hilo gari ni very very stable , ndio maana wengi tunashangaa nguvu iliyotumika kuipindua!
Nikikata mbuga huko maporini hii gari kwenda zaidi ya 200km/hr ni kama mchezo.
usalama kwanza Kwenye kila dhahama. Gari hiyo imegongwa na vitz imeharibika hivyo, ingegongwa na treni Je?
mi sina gari,so napita tuuuuu,,but know that hii ajali niyakinamna namna fulani..
mi sina gari,so napita tuuuuu,,but know that hii ajali niyakinamna namna fulani..
Nadhani hili ndo jibu sahihi,kitabu cha gari siamini kama pana sehemu pameandikwa kwamba matumizi ya hiyo gari ni pamoja na kugongwa.
<br>Nadhani hili ndo jibu sahihi,kitabu cha gari siamini kama pana sehemu pameandikwa kwamba matumizi ya hiyo gari ni pamoja na kugongwa.
Yay!basi na tuanze kutengezewa vifaru vya kiraia!
Discovery 4 nayo ni nzito sana.
Peugeot is a good car too believe me