Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,891
- 45,044
mkuu huu ndio ushauri sahihi na niliokuwa nao mm kichwani mwangu. natumia simu nashindwa kukugongea like.
hii ni point kubwa sana tatizo watu wanaongea sana .wanasahau kwa nn serikali inakataza Yale mabasi yakuchongwa kwa kuchukua chesis ya malori.
wakuu Gari kuwa na body nyepesi ni usalama mmoja wapo kwa mtumiaji wa Gari hiyo.
ndio maana kwa hayo magari mnayoyasifia kuwa na body ngum kama benzi na BMW land rover usalama wake wote upo kwenye airbag maana Gari zimewekwa airbag nyingi sana.
Wivu mbaya sana...
Mtu anatembelea noah anaponda land cruise
Mkuu naona umechanganya mada hapo,kuna haya ma bus yenye body za irriza au marcopolo body zao zipo starndard kulinganisha na izo za kuchongwa kama ma bus mengi tunayotumia hapa kwetu..ss mifano yenu wa ugumu wa magari na usalama wake mnauleta ktk magari ambayo ni SUV hamuwatendei haki benz,bmw,land rover,range rover au jeep maana kuyakuta hayo matairi juu body chini ni nadra sana hata ukitoka nje ya bara bara litagonga miti tuu na si kupinduka kirahisi rahisi kama land cruiser halina balance kabisa ingawaje body kubwa.
Benz G63 iko poa sana, hata nissan patrol ina kauzito fulani
Kinachoelezwa juu ya kupinduka hilo gari siyo kweli kabisa.Gari aliyokuwa amepanda mama Kijo Bisimba inepinduka baada ya kugongwa ikiwa Kwenye foleni.
Jamani hapa wajapani wamechemsha kutengeneza Gari nyepesi Kama karatasi.
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304642&stc=1
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304614&stc=1
Hizi Toyota Landcruizer V8 zina tatizo limejificha lakini sio gari reliable kabisa,yaani haipiti mwezi lazima utasikia limepinduka ,burst,kuacha njia n.k.Hata huko serikalini wayatoe yatatumalizia viongozi wetu.Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
Msiwe kama Nyumbu! Oooooooooh shiit sio lile tusi la Nape! Msiwe kama Kiwanda cha Nyumbu pale Kibaha!Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
Maine kama Nyumbu!Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
Kinachoelezwa juu ya kupinduka hilo gari siyo kweli kabisa.
Kwanza gari inaelekea limegongwa ubavuni kwa mwendo mkubwa , na si nyuma.
Nyuma gari halina hata mkwaruxo.
Gari aina ya LC200 , VX-Turbo 8cylinders, 4200cc ni kiboko.
Nasema hivyo kwa vile nalitumia, ni gari ambalo pamoja na kuwa na wheel base kubwa, ni very very stable.
Hilo gari la mama Bi Simba haielezwi imegongwa na gari gani huko ubavuni.
Ukigongwa na Scania lazima upinduke
ke
Wametengeneza kwa matumizi ya kawaida siyo kugongwa.
Kinachoelezwa juu ya kupinduka hilo gari siyo kweli kabisa.
Kwanza gari inaelekea limegongwa ubavuni kwa mwendo mkubwa , na si nyuma.
Nyuma gari halina hata mkwaruxo.
Gari aina ya LC200 , VX-Turbo 8cylinders, 4200cc ni kiboko.
Nasema hivyo kwa vile nalitumia, ni gari ambalo pamoja na kuwa na wheel base kubwa, ni very very stable.
Hilo gari la mama Bi Simba haielezwi imegongwa na gari gani huko ubavuni.
Ukigongwa na Scania lazima upinduke
ke
Gari aliyokuwa amepanda mama Kijo Bisimba imepinduka baada ya kugongwa ikiwa Kwenye foleni.
Jamani hapa wajapani wamechemsha kutengeneza Gari nyepesi Kama karatasi.
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304642&stc=1
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304614&stc=1
Hizi Toyota Landcruizer V8 zina tatizo limejificha lakini sio gari reliable kabisa,yaani haipiti mwezi lazima utasikia limepinduka ,burst,kuacha njia n.k.Hata huko serikalini wayatoe yatatumalizia viongozi wetu.
Mimi nuna GX 100 iligongwa na Nissan Patrol iliyokuwa kwenye mwendo mkali lakini ilichubuka rangi tu. Mjapani magari yake ya uhakika
Land Cruiser LX bado haujanishawishi.