Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU. Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Kwann wazungu huweka vikwazo, moja Ni kuifanya serikali iwe unpopular Kwa wananchi ili waitoe madarakani! Je tujiulize Vikwazo walivyopewa Iran imechange serikali au chama? No. Je, Zimbabwe Vikwazo vilimuondoa Mugabe ? Au chama chake.. Na hizo kesi za ICC hamna chochote.. km wangeua mass murdering..hapo sawa.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani. Baada ya Seif kupokonywa ushindi 2015; tulinyimwa trillion Zaidi ya 2 za umeme WA Rea..je unadhani madhara yalikuwa kwa Maalim Seif au Magu...no...Kwa Sisi tuliotaka umeme vijijini.

Ujumbe kwa Magu;
mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie.

Ujumbe kwa Lisu.

Lisu Kaka kumbuka yale maneno ya wahenga

Mchuma janga....hulia na wakwao

Chadema pelekeni wadada 19 wakatie Jamba Jamba kidogo. Maalim Seif kubali serikali ya mseto.
Huu uzi ungekuja nao mapema kabla ya uchaguzi .. ingesaidia sana. . pia unavyoongea unaonekana umebase upande flani .. ila unajaribu kushow uko neutral
 
Kila mmoja wetu anahitaji mbinyo wa kisawasawa ili tuzungumze lugha moja. Hii hali ya Sasa ambapo wengine kuwaona wengine si kitu si chochote na kujiona mabingwa over others....itatuchelewesha Sana na itamaliza wengi
 
Baada ya hao wazungu kuingia Libya kilichofuata ni maumivu zaidi.

Ni kweli, ila leo wamekubaliana kuwa mwaka kesho watakuwa na uchaguzi mkuu mwezi desemba, na kubadili katiba yao. Ni dhahiri sasa nchi yao wataheshimiana baada ya kutoa damu chafu ya Gaddaf na wahuni wenzake.
 
Yaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Huyo China na Urusi kila uchwao wanapigwa sanction wanaufyata sasa atakusaidia nani?
 
Ni kweli, ila leo wamekubaliana kuwa mwaka kesho watakuwa na uchaguzi mkuu mwezi desemba, na kubadili katiba yao. Ni dhahiri sasa nchi yao wataheshimiana baada ya kutoa damu chafu ya Gaddaf na wahuni wenzake.
Walichopitia baada ya hao wazungu ni kibaya zaidi kuliko kuwa katika huo utawala wa Gaddafi,wewe unaelezea kana kwamba waliyopitia hayo ya kumwaga damu maelfu kwa maelfu ni kwamba walijua na kupanga hivyo na kuona ndio njia sahihi.
 
Bora njia hii maana mpaka leo wangekuwa wanatawalia kibabe, na kunyimwa uhuru jambo ambalo hawakuwa wanakubaliana nalo. Sio njia nzuri, lakini ndio iliyokuwa njia pekee ya kumtoa yule dhalimu.
 
Ndio maana nikasema maneno hayo wangeeleza walibya wenyewe ndio kidogo ningewaelewa ila sio wewe mkuu ambaye ulisitisha kuingia barabarani kwa hofia kutatokea machafuko na nyie mnataka maandamano ya amani,halafu wewe ndio useme et kile walibya walichopitia ni bora kuliko kuishi chini ya utawala wa Gadaffi.

Uhuru huo ni wa kiasi ambao waliyoona ni bora kumwaga damu ya mamilion ya watu wakiwemu watoto,wazee na akina mama lakini ili tu waupate huo uhuru?
 
Gaddaf ametawala zaidi ya miaka 30 huko Libya, kama ni Walibya kuandamana basi huyo Gaddaf hakupaswa kuvuka miaka 15, yote hiyo ni kwakuwa bado woga uliwaandama. Narudia tena, bila hiki kilichotokea kwa Walibya, bado wangeendelea kufanywa makondoo na Gaddaf kama sisi Tanzania tunavyofanywa na ccm.
 
Ndio nauliza huo uhuru ambao wanautaka walibya ni uhuru mkubwa kiasi gani wenye thamani ya mamilioni ya damu zao?
 
Damu zilikuwa zinamwaga na kukosa uhuru juu Gaddaf akiwa madarakani, haya pia sasa hivi yako hapa kwetu. Ilifika mahali Walibya wakawa hawana namna zaidi ya kumng'oa huyo dhalimu, bila kujali kitakachotokea.
 
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU. Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Kwann wazungu huweka vikwazo, moja Ni kuifanya serikali iwe unpopular Kwa wananchi ili waitoe madarakani! Je tujiulize Vikwazo walivyopewa Iran imechange serikali au chama? No. Je, Zimbabwe Vikwazo vilimuondoa Mugabe ? Au chama chake.. Na hizo kesi za ICC hamna chochote.. km wangeua mass murdering..hapo sawa.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani. Baada ya Seif kupokonywa ushindi 2015; tulinyimwa trillion Zaidi ya 2 za umeme WA Rea..je unadhani madhara yalikuwa kwa Maalim Seif au Magu...no...Kwa Sisi tuliotaka umeme vijijini.

Ujumbe kwa Magu;
mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie.

Ujumbe kwa Lisu.

Lisu Kaka kumbuka yale maneno ya wahenga

Mchuma janga....hulia na wakwao

Chadema pelekeni wadada 19 wakatie Jamba Jamba kidogo. Maalim Seif kubali serikali ya mseto.
Jamii ya watetea tumbo.
Umekiri mwenyewe kuwa watu waliuliwa huko zanzibar.
Ulitaka ufe wewe ndio watu waanze kihangaika kutafuta suluhu?
Kama kweli kuna waliokufa zanzibar kisa uchaguzi, basi hakuna aliye salama
 
Mbona vikwazo hivi ni mwanzo mwisho lakini tunadunda bila shida, chakula chenye chumvi nyingi hata ukiongeza chumvi nyingine hautaona tofauti.
 
Damu zilikuwa zinamwaga na kukosa uhuru juu Gaddaf akiwa madarakani, haya pia sasa hivi yako hapa kwetu. Ilifika mahali Walibya wakawa hawana namna zaidi ya kumng'oa huyo dhalimu, bila kujali kitakachotokea.
Tatizo hili suala la Libya kila mtu anaongea lake,na kama Libya ilikuwa kama hivi Tanzania basi naweza kusema kuwa walibya wametumia gharama kubwa sana katika kupata kitu ambacho hakifiki gharama walizotumia.
 
Back
Top Bottom