wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,507
- 29,288
1.Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu
anavalishwa shanga.
2. Arusha kama huna meno ya dhahabu
unatengwa.
3. Manyara usipoua simba we shoga.
4. Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka.
5. Mwanza mtoto mchanga wa cku 1 anapewa
ugali sio maziwa.
6. Kagera huko hata barabara ya vumbi
wanaita flyover.
7. Kigoma kati ya watu 10 basi 8 sio
watanzania.
8. Shinyanga kuokota hirizi ni kama kuokota
jani la muembe uchawi no stress.
9. Tabora wasomali wengi kuliko waswahili
10. Dodoma mtoto anazaliwa kanyoosha
mikono. anajifunzia uomba omba tumboni.
11. Rukwa hawa hata hawajui kama wapo
Tanzania
12. Mbeya ukinywa chai usitumie dk. Kumi la
sivyo inaganda.
13. Iringa kujinyonga ni ushujaa.
15. Morogoro wanaamini wao ni wajanja
kuliko DSM
16. Pwani hawa ni mgambo wa jiji la
dsm.wanalinda mkoa.
17. Lindi mkoa mkuubwaaa ila woote ni
hifadhi ya wanyamapori.
18. Mtwara usipokula panya unaonekana
mwanga
19. Ruvuma huko naskia hawatumii tsh
wanatumia kwacha.
20. Dar kila mtu tapeli. Unaweza kujitapeli
hadi nafsi yako
21. Kilimanjaro ikifka December huwa kuna
fiesta mji unajaa. Sijui hata watu wanatoka
wapi
22. Singida hapanaga tofauti na jangwa la sahara full vumbi.