Mswati Original
Member
- Sep 9, 2014
- 59
- 21
mbona huelewekiHii habari uisikie tuu kwa jirani! Nlifanya siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "mchongo" ninaopiga. Leo mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu coz sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa. Inauma aisee asikwambie mtu.
Hii habari uisikie tuu kwa jirani! Nlifanya siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "mchongo" ninaopiga. Leo mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu coz sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa. Inauma aisee asikwambie mtu.
Demu mwenyewe kicheche. Maumivu ya kuchapiwa mbona cha mtoto, subiri maumivu ya ngoma.
Badilisha jina halikufai Mkuu.
Heee... ndimba uligwa kumyetu!momumumo gwangu
du...kwasu kimpumu kwinyo!Heee... ndimba uligwa kumyetu!
Mbona rahisi tu, tafuta mchongo mwingine weka hadharani ili usichapiwe tena.Hii Habari uisikie tuu kwa Jirani.
Nilifanya Siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "Mchongo" ninaopiga.
Leo Mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu sababu sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa.
Inauma aisee asikwambie Mtu.