CHUAKACHARA wee acha tu kutoingia JF kwa wiki nzima ni mateso makubwa mnoMshana sijakupata!
CHUAKACHARA wee acha tu kutoingia JF kwa wiki nzima ni mateso makubwa mno
Kweli, ulikuwa wapi nimekumis sana. Huyo Chimpanzee naona yamemkuta maana kama mwanadamu alivyoweka mikono, in deep thinking!
Aah wapi ban huwa linanikosakosa tu