bhikola
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,133
- 1,668
Habari wapendwa,
Leo nimekaa na kuwa na tafakari kidogo kuhusu maisha haya. Naamini yote yatapita na mwisho wa siku maisha kama yalivyokuwa.
Lakini, unaweza kuweka na kuwaza vyovyote utakavyo, unaweza kuwa na mifano mingi kadri inavyowezekana, lakini tufahamu ya kwamba, kila zama na zama zake:
1. DSM ilishawahi kuwa ya Mary Chipungahelo - Chips mwenyewe walikuwa wanamuita, ikaja Dar ya Makamba, ilikuwa hatare sana hii. Akafuatia Kandoro - kilichompa umaarufu zaidi ilikuwa ni issue ya maji ya pact (Maji ya Kandoro), na sasa yupo mwenye zama zake.
2. Ikaja zama ya Rizi'moko' - daah, hii zama ilikuwa faya sana. Kila project town, kila biashara kubwa, kila mjengo, hata madaraja (kama la kigamboni) yalipewa umiliki wa ama Rizi au dingi yake. Sasa ni zama za 'stone'. Shetani na malaika wote wanaishi zizi moja, kasoro yule asiyeweza kuhonga IST
3. This time last year (2018) kulikuwa na tamasha moja matata sana la Nandy & Aslay na marafiki zao. Hili tamasha lilipata eataimu pale mawingu kuliko ujio wa Obama. Aisee, mambo yalikuwa moto, mambo yalikuwa faya. Leo Nandy yupo Swanga, hata local radio za huko hazitangazi ujio wako. Amebaki kujiboost insta na kwingineko, lakini inonekana nyota yake ndo kaisha ondoka nayo 'my switihat mahabuba wake'. Daa, zama zake nazo ndo zinahesabika.
Rafiki, life is not permanent
Aliyekuwa sisiemu leo, kesho yuko eisitii origino.
Nothing is permanent. Live your life to the fullest