Kweli kifo hakikwepeki,soma hapa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli kifo hakikwepeki,soma hapa!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Vivian Mwaisango, May 3, 2012.

 1. V

  Vivian Mwaisango Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa katembelewa na Israel mtoa roho za watu,akamwambia leo ndio zamu yako nimekuja kukutoa roho.Jamaa kamkaribisha vizuri,kampa chakula na kinywaji ambacho aliweka dawa ya ucngizi.Israel alipolala jamaa akakata jina lake lilikua mwanzoni mwa list ya majina akaliandika mwishoni.Israel alipoamka akamwambia,"rafiki yangu umenitendea wema sana,hvyo nimeona bora nianze na jina la mwisho ili wewe uendelee kuishi"jamaa kabaki hoi
   
 2. suri

  suri JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wambisho atakuwa wa kwanza na kinyume chake
   
Loading...