Kweli kidonge cha Panadol kinatumika kumuua nyoka?

Ni Kuna ukweli wowote wanaposema kidonge Cha PANADOL a.k.a paracetamol kinaweza kumuua NYOKA?
Hebu weka-weka "nyama"uzi wako. Huu ni uzi mzuri ila sasa hujasema nyoka wa aina gani au una mmezesha kwa nguvu au unamtegea kwenye chambo(Bait) au ni jaribio la kimaabara etc. au ikoje mpaka useme kama ulivyoandika hapo?? Please Elaborate....
Otherwise u can check with Fact-chek App.
 
Hii taarifa niliisoma Bbc miaka kama miwili imepita.
Ni marekani huko katika kisiwa fulani, Serikali ya marekani inaua spishi fulani ya nyoka kwa kutumia Paracetamol.

Kwahiyo sidhani kama panado inaweza kuua kila aina ya nyoka.

Sehemu moja ya taarifa hiyo inasema hivi
" Marekani inajaribu kudhibiti idadi ya nyoka wa kahawia. Kisiwa cha Guam, ambacho ni kidogo kieneo kinakadiriwa kuwa na zaidi ya nyoka wa kahawi 300,000"
 
You talk at least from what knowledge you have/from
Safi kabisa. Kwa mujibu wa mtoa Mada anasema: " wanaposema kidonge Cha PANADOL... ; basi ingekuwa vizuri zaidi atutajie hao wanaosema i.e. chanzo cha habari/taarifa yake. Otherwise, akafanye yeye majaribio kwanza physically halafu alete mrejesho hapa kwa kuliweka kama "quiz" ili wadau tuseme ni Kweli au sio Kweli.
 
Hii taarifa niliisoma Bbc miaka kama miwili imepita.
Ni marekani huko katika kisiwa fulani, Serikali ya marekani inaua spishi fulani ya nyoka kwa kutumia Paracetamol.

Kwahiyo sidhani kama panado inaweza kuua kila aina ya nyoka.

Sehemu moja ya taarifa hiyo inasema hivi
" Marekani inajaribu kudhibiti idadi ya nyoka wa kahawia. Kisiwa cha Guam, ambacho ni kidogo kieneo kinakadiriwa kuwa na zaidi ya nyoka wa kahawi 300,000"
Waw! Tarifa hiyo tupe link nasi tujisomee kwa undani zaidi. Shukran.
Inaonekana umeitoa hapa: 👉A dose of only 80 mg acetaminophen per animal did kill 100 % of the tested snakes within 12-24 h. This knowledge has since been used to control the brown tree snake population on Guam by lacing dead mice with acetaminophen, and distributing this bait in habitats where the snakes reside.
 
Hapana, Panadol (au dawa yoyote yenye paracetamol) haiwezi kuua nyoka.

Panadol ni dawa ya binadamu inayotumika kwa kupunguza maumivu na kupunguza homa, lakini haina kemikali zinazoweza kuwa sumu kwa nyoka au wanyama wengi wengine.

### Kwa nini Panadol haifanyi kazi kwa nyoka?
1. Si sumu yenye nguvu – Paracetamol haina uwezo wa kuua wanyama kama nyoka, mijusi, au wadudu.
2. Metabolism ya nyoka ni tofauti – Mifumo ya nyoka haijaliishi paracetamol kama sumu.
3. Hatari kwa mazingira – Kutumia dawa za binadamu kwa wanyama kunaweza kusumbua mazingira na kuwaua wanyama wasio na hatia (kama ndege au samaki).

### Nini kinaweza kuua nyoka?
Ikiwa una tatizo na nyoka wenye sumu au wa kuvumiza, njia salama ni:
  • Kuita wataalamu wa kuondoa nyoka (snake catchers).
  • Kutumia mbinu za kinga (kufunga mashimo, kukata nyasi, n.k).
  • Kuepuka kutumia sumu za kinyama – zinaweza kuwa hatari kwa wanyama wengine na hata watoto.

Usitumie dawa za binadamu kwa wanyama bila ushauri wa daktari wa mifugo! 🚸
 
Sio kweli. Panadol imethibitika INAUA nyoka.

Hebu fuatilia habari na huko kwingine ujiridhishe e.g. hii : "........ Researchers tried all sorts: there were, after all, plenty of snakes to experiment on. And finally, they found a suitable substance: paracetamol. A 500-mg pill contains enough active ingredients to kill off six adult snakes.14 Feb 2019
Kwa mantiki hiyo; Is paracetamol lethal to snakes? YES. Hili liko documented na wanasayansi nguli sio sisi akina Iyerdoy le Maasai.
 
Hapa changamoto ni jinsi ya kumlisha panadol huyo nyoka. Naona inatakiwa amle panya mbaye ana panadol mwilini. Sasa kumpa panya kidonge cha panadol halafu ajiendee kichakani akaliwe na nyoka hiyo sasa ni kipengele. Na huyo panya anaweza wahiwa na bundi, paka na viumbe wengine wanaokula panya, kabla mjomba snake hajamuona.
 
Huo kweli ndo mtihani ulipo. Japokuwa inawezekana kutumia vitu ambavyo havijongei e.g. yai. Lakini napo bado mh.snake anaweza asilimeze au asitokezee pale lilipotegwa wani huwezi kumweka nyoka kwenye kizuizi (captivity) ili abanwe njaa na alazimike kuila hio chambo. Mm huwa napambana naye kwa fimbo hadi kileweke -namuua halafu ikinipendeza namfanya kitoweo baada ya kumkata kichwa. Ni mtamu sana kama samaki.
 
Mnamjua nyoka vizuri? Yule mdudu anatisha! Ok.jaribu kufanya jaribio, ukimuona nyoka yumbani kwako usimpelekee jifimbo kubwa bali mtupie vidonge vya paracetamol kama vile unavyomrushia kuku punje za mahindi 😀
 
Hapo mkuu; wewe ndo kwa kweli utaitwa mchokozi. Hukumu takupasa.
 
Back
Top Bottom