Kweli kabisa hii nchi bado haija balehe..........

Masoud naona anafikiria mbali.. sasa hivi tunavopinga hata kutumia sarafu ya jero inaonyesha wazi hatujui hata tunachofanya nchi inaenda tu kwa speculations za watu... hiyo gesi itachakachuliwa faida ya asilimia mia tutapata tano au ikizidi kumi
 
Ccm imelazimisha nchi kuchezwa ngoma ya unyago tupo sokoni wana wali kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…