Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,831
IQ ndogo ...Lissu sio mgonjwa ni majeruhi(casualty) au siku hizi risasi zinaleta magonjwa?Alifanya ziara nchini uingereza na Marekani akapata airtime na BBC, CNN na kadhalika Kama mabeberu hawakumuelewa kipindi kile kipi kitasababisha wamuelewe sasa?
By the way si busara kubishana na mgonjwa