Kweli jamiiforums ni zaidi ya vyote

Bebrn

Senior Member
Mar 20, 2008
103
23
Ndugu zangu samahanini kama nitakuwa nawaboa ila naelezea ukweli jinsi nilivyokuwa nahisi nakosa kujua nchi na dunia nzima inaendaje kwa siku zote jamii forum ilipokuwa kwenye matengenezo, uko kwengine kote sawa ila bado nilikuwa sijisikii kuwa kumekamilika kama ninapokuwa kwenye jamii forum original, poa wakuu ni hayo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom