Kweli hii ni bahati yangu

Kweli hii ni bahati yangu

Kimbia tena usigeuke nyuma.
Huyo mumewe akikudaka hataelewa kuwa ulikuwa hujui.
 
Kusomesha mwanamke ni sawa na kujenga nyumba barabarani. Mwanamke hasomeshwi ndugu maana hawa kobe hawabebeki jamani nakumbuka nilisoma chuo fulani na mke wa mtu tena bwana ake tunafahamiana sana lakini mwanamke kwakua alikua mzuri basi alishindwa kukwepa vishawishi mara akaanza kufyatuliwa na lecture fulani na akawa anampa favour sana,wanafunzi nao wakawa wanamfyatua kila wakienda viwanja na mwisho wa siku akapata kijana mmoja wa Sinza akamvisha Pete tayari kwa ndoa mara baada ya kumaliza masomo lakini bahati mbaya akamvimbisha tumbo mapemaa ikabidi asitishe masomo akalee kwa bwana ake na bwana ake alijua ni mimba yake kwakua sometimes alikua anakuja kukutana na mkewe kwaajili ya kutunza ndoa lakini ndio ivo ndoa ilishaingiliwa na wahuni muda mreeefu. Mwanamke amezaa mtoto wa kike yani ni copy kabisa na jamaa,Wanawake mnadhambi sana
Katika dunia hii hakuna mwanadamu yeyote yule asiye dhaifu katika mambo kadhaa,

Kila hatua ambayo mwanadamu kamili lazima aipitie ina changamoto zake,
Si jambo rahisi kukwepa hii hatua.

Na kwa jinsi ulivyotoa maelezo yako
Nimechukizwa sana na kauli yako
Ya kuwaita wanawake " Kobe "

Sio jambo jema kumtusi au kumfananisha na kiumbe ama kitu ambacho havina uhalisia.

Unaposema hivyo kuwa wanawake wana dhambi na kukashifu kuwatolea matusi.
Haipendezi hata kidogo,

Hakuna mwanadamu aliyekamilika
Mwanadamu yeyote ni dhaifu.
Sio wanawake tu, msipendee uonevu muda mwingine.

 
Kwahiyo kiongoz kwamchezo huo uliokuwa unaufanya unahisi ulikuwa unakiweka kiungo chako gani rehani?
 
Back
Top Bottom