Kweli hii ni bahati yangu

Kweli hii ni bahati yangu

Kumbe ndio ww ulikuwa unaongea huku unatetrmeka,acha nikufatlie,nimekaa kimya ukajua sjui mchezo wenu!!
 
uyo mwanamke muuaji unawezaje kuficha haujaolewa ktk vitu siwezagi danganya ni swala la kuolewa pole sana kwa yaliyokukuta
 
Wanawake ni viumbe wa kwenda nao kwa akili sana kama hapo ingetokea mkafumaniwa anaepigwa ni mwanaume halafu yeye anakuwa pembeni analia tu! so crazyness
 
Haaahaaa! Mtoa mada unazungukwa. Demu atakuwa anawapanga. Hana mume wala nini! Huo ni mchepuko wake ila kwa kuwa mligongana ndio mana kasingizia ni mumewe ili kukukamata na kukuvunja nguvu usihoji kwa nini anakusaliti! Zindukaaaaa!!!!!
 
Hakuna kilicho rahisi, kuna framework, root cause, motive na explanation hapo.

Kwa nini mke wa mtu atake kuzaa na mtu asiye mume wake wakati mume wake yupo?

Hakuna wanaume wasioweza kuzalisha wake zao wanaoruhusu wake zao wazalishwe na wanaume wengine ili wao wapate watoto tu?

It is a theory. Granted that we do not have all the fact, it is not an entirely implausible theory.
mkuu Kiranga umeadimika sana Kule jukwaa LA intelijensia
 
Haaahaaa! Mtoa mada unazungukwa. Demu atakuwa anawapanga. Hana mume wala nini! Huo ni mchepuko wake ila kwa kuwa mligongana ndio mana kasingizia ni mumewe ili kukukamata na kukuvunja nguvu usihoji kwa nini anakusaliti! Zindukaaaaa!!!!!
Hapana ndugu yangu huyu ni mke wa mtu kabisa nilikuwa nahisi sababu kuna kipindi niliwah kuona picha zake akiwa amevaa nguo ya harusi lkn alinigomea ila leo ndio nimethinitisha kabisa
 
Binafsi nikikufuma na mke wangu, lolote baya saana laweza kukutokea
 
Siku hizi magume gume yanazidi kuwa mengi,ehhhh mungu ninusuru na laana hizi!!
 
Habari wana jf . Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa tanzania kiukweli nimebahatika kupata maichana au tuseme demu sasa tumekutana kimwili mara kadhaa hivi ila tatizo nilikuwa sijua kama ameolewa yaani ni mke wa mtu hilo swala nimekuwa nikihisi lakini uhakika nimepata leo asubuhi hii nilipompigia simu asubuhi ya leo na kupokea Mumewe kwa kweli niliongea nae kistaarabu na baadae alipokuja mkewe ambaye ndie alikuwa demu wangu nimeongea nae nikamuuliza kwa uzuri huyo aliyepokea simu ni nani akanijibu ni mumewe na ilikuwa ngumu kudanganya kwa sababu alikuwa nae karibu . Nimeandika haya yote kwa kusudia kusema sio wote wanaotembea na wake za watu wanafahamu ila kwa kuwa leo nimefahamu kwakweli siitaji tena mazoea na huyu mwanamke kwani anaweza ponza kiungo changu chochote katika mwili wangu , cha kushangaza alikuwa anadai anataka kuzaa na mimi dah sijui yangenikuta ningejificha wapi mimi jamani ila nshafahamu basi sitaki tena mazoea nae
Mungu anakuoenda ndio maana umejua mapema. Amekuepusha na balaa...
Sasa we achana na hayo mambo. Kazana na kitabu... wakati wakupata mke ukifika.. Mungu atamleta kwa njia ya ajabu sana.
 
Habari wana jf . Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa tanzania kiukweli nimebahatika kupata maichana au tuseme demu sasa tumekutana kimwili mara kadhaa hivi ila tatizo nilikuwa sijua kama ameolewa yaani ni mke wa mtu hilo swala nimekuwa nikihisi lakini uhakika nimepata leo asubuhi hii nilipompigia simu asubuhi ya leo na kupokea Mumewe kwa kweli niliongea nae kistaarabu na baadae alipokuja mkewe ambaye ndie alikuwa demu wangu nimeongea nae nikamuuliza kwa uzuri huyo aliyepokea simu ni nani akanijibu ni mumewe na ilikuwa ngumu kudanganya kwa sababu alikuwa nae karibu . Nimeandika haya yote kwa kusudia kusema sio wote wanaotembea na wake za watu wanafahamu ila kwa kuwa leo nimefahamu kwakweli siitaji tena mazoea na huyu mwanamke kwani anaweza ponza kiungo changu chochote katika mwili wangu , cha kushangaza alikuwa anadai anataka kuzaa na mimi dah sijui yangenikuta ningejificha wapi mimi jamani ila nshafahamu basi sitaki tena mazoea nae

Hahaha kuna video niliiona jamaa analiwa 0713 baada yankukutwa na mke wa mtu gesti nipe namba yako nikutumie whatsapp maana kuna wanaume wengine hawapendagi ujinga na mali zao
 
Back
Top Bottom