Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Habari wana jf . Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa tanzania kiukweli nimebahatika kupata maichana au tuseme demu sasa tumekutana kimwili mara kadhaa hivi ila tatizo nilikuwa sijua kama ameolewa yaani ni mke wa mtu hilo swala nimekuwa nikihisi lakini uhakika nimepata leo asubuhi hii nilipompigia simu asubuhi ya leo na kupokea Mumewe kwa kweli niliongea nae kistaarabu na baadae alipokuja mkewe ambaye ndie alikuwa demu wangu nimeongea nae nikamuuliza kwa uzuri huyo aliyepokea simu ni nani akanijibu ni mumewe na ilikuwa ngumu kudanganya kwa sababu alikuwa nae karibu . Nimeandika haya yote kwa kusudia kusema sio wote wanaotembea na wake za watu wanafahamu ila kwa kuwa leo nimefahamu kwakweli siitaji tena mazoea na huyu mwanamke kwani anaweza ponza kiungo changu chochote katika mwili wangu , cha kushangaza alikuwa anadai anataka kuzaa na mimi dah sijui yangenikuta ningejificha wapi mimi jamani ila nshafahamu basi sitaki tena mazoea nae